Toyota Brevis zina nini cha ziada?

Toyota Brevis zina nini cha ziada?

Brevis mashine kubwa man! Kwanza jua kuwa Brevis zote zinatumia engine ya Jz ambayo ni engine inayotumika katika sport car za toyota mfano toyota Supra.

Engine ya brevis imegawanyika katika mifumo na ukubwa;

2.5L 1JZ-GE I6
2.5L 1JZ-FSE I6
3.0L 2JZ-GE I6
3.0L 2JZ-FSE I6

Sasa hiyo ya 3.0 ni balaa, yani sijui gari gani linaweza kukimbiza hiyo mashine. Kinachowafaya watu wanunue Brevis ni perfomance yake, yaani engine kama unapenda mbio basi nakushaur nunua Brevis utafurahi.
 
brevis mashine kubwa man! kwanza jua kuwa brevis zote zinatumia engine ya Jz ambayo ni engine inayotumika katika sport car za toyota mfano toyota supra,
engine ya brevis imegawanyika katika mifumo na ukubwa
2.5L 1JZ-GE I6
2.5L 1JZ-FSE I6
3.0L 2JZ-GE I6
3.0L 2JZ-FSE I6
sasa iyo ya 3.0 ni balaa yani sijui gari gani nilinaweza kukimbiza iyo mashine
kinachowafaya watu wanunue brevis ni perfomance yake yan engine kama unapenda mbio basi nakushaur nunua brevis utafurahi.

Vp mafuta unywaji wake?
 
Vp mafuta unywaji wake?

Mzee si unaona izo ccc 2.5 na 3.0 alafu petrol,inakula wese sana tu yani sana 2, kama unaela ya mafuta endesha vitz ndio hazili mafuta lakin gar ya zaidi ya cc 2.5 alafu petrol lazima ile mafuta
 
Hivi mashine kama hiyo inapatikana kwa bei gani?

Bei inategemeana kama wataka brand new, used both Bongo and nje ya nchi.. Nyingi zinazokuja Bongo ni used tayari, si unajua wenzetu matumizi yao kidogo yako poa hata kama used inaonekana iko powa tu. Tatizo kubwa hizi brand mfano kuipata Brevis latest brand kwa maisha yetu ni ngumu. Ndio maana tunabase za kati ya 2001 or 2003.

Yangu nilichukua million 13 Japanese used milage 68000, Saa hizi hata million 11 unapata ila kama mwoga wa maisha kama wengine hao hii gari inanyonya wese hatari! Kwa spidi utapenda, Six Valve hata new force utampumulia kwa nyuma.
 
Back
Top Bottom