Unachanganya mambo naona...kuuza sana kwa magari ya kijapan hakumaanishi ni bora kuliko Benz na BMW. Kunaweza kumaanisha jambo moja kuu: unafuu wa magari ya kijapan kwa bei ya kununua na matunzo baada ya kununua. Huku kunapelekea watu wengi duniani (kumbuka middle income earners ndiyo wengi duniani) kuyanunua, pengine siyo kwa kuwa wanapend hivyo, ila kwa kuwa ndiyo wanayomudu kutokana na uwezo wao.
Ukienda nchi zenye watu wengi wenye uwezo mkubwa, magari ya kijapan ni ya kuhesabu. Mfano, Switzerland, Norway, Luxembourg etc.
Ila ukitaka gari ambayo utakaa nayo milele kama ukizingatia service vizuri, gari za mjerumani na hata mwingereza huzikosi mazee.
Nchi inayonunua magari sana kuzidi nchi zote dunia na inategeneza magari mengi sana kuliko nchi yoyote dunia lakin wananunua sana magari ya japan zaid?sasa nakushangaa ww
[TABLE="width: 314, align: center"]
[TR]
[TD="width: 314, colspan: 4"]2014 best selling car brands U.S.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]Rank[/TD]
[TD="align: center"]Make[/TD]
[TD="align: center"]2014[/TD]
[TD="align: center"]Car share[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD]Toyota[/TD]
[TD] 1,085,924[/TD]
[TD="align: right"]13.7%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD]Chevrolet[/TD]
[TD] 880,683[/TD]
[TD="align: right"]11.1%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]3[/TD]
[TD]Honda[/TD]
[TD] 793,026[/TD]
[TD="align: right"]10.0%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]4[/TD]
[TD]Nissan[/TD]
[TD] 789,898[/TD]
[TD="align: right"]10.0%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]5[/TD]
[TD]Ford[/TD]
[TD] 762,545[/TD]
[TD="align: right"]9.6%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]6[/TD]
[TD]Hyundai[/TD]
[TD] 570,505[/TD]
[TD="align: right"]7.2%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]7[/TD]
[TD]Kia[/TD]
[TD] 420,202[/TD]
[TD="align: right"]5.3%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]8[/TD]
[TD]Volkswagen[/TD]
[TD] 333,785[/TD]
[TD="align: right"]4.2%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]9[/TD]
[TD]Subaru[/TD]
[TD] 282,052[/TD]
[TD="align: right"]3.6%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]10[/TD]
[TD]Dodge[/TD]
[TD] 282,033[/TD]
[TD="align: right"]3.6%[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
tafuta haya magari ya kijapani hutataka european car,nissan gt-r na skyline,toyota supra,mistubishi evo na subaru wrx sti hapo benz au bmw hangusi moto huo
kuna ule ushamba wa watu utasikia anaendesha benz atakuwa naela sana,kumbe izo benz ni bei ya kwaida sana sema ushamba tu wa wabongo wengi