Toyota Brevis zina nini cha ziada?

Toyota Brevis zina nini cha ziada?

Mi nawashangaa mkisema utawapumulia mabasi kwa nyuma, hivi, hata nikiwa na gx100 yangu, kuna basi gani la kucheza mbele yangu, ile ni machine bhana sema sijawahi kupata ligi ya brevis, mark x au alteeza
 
bei inategemeana kama wataka brand new, used both bongo and nje ya nchi.. nying znazokuja bongo ni used tayar c unajua wenzetu matumiz yao kdogo yako poa hata kama used inaonekana iko powa tu.. tatizo kubwa iz brand mfano kuipata brevis latest brand kwa maisha yetu ni ngumu.. ndo mana tunabase za kat ya 2001 or 2003.

yangu nlichukua m13 japanese used milage 68000, Saiz hata 11 unapata ila kama mwoga wa maisha kama wengne hao, hi gar inanyonya wese hatar, kwa spid utapenda six valve hata new force utampumulia kwa nyuma.

Hapo kwenye RED sijakuelewa.... Hizo six valve zinafanyaje mpaka upumulie basi kwa nyuma?

Cha muhimu kwenye gari kama unapenda speed ni Horsepower na Torque. Then ndio utaweka mambo mengine kama agility, engine design etc.
 
gari ya kazi hyo mkuu..altezza inakaa mbali hapo.
altezza gari ya mashindano bana sio ya starehe kama brevis, mark x na grand... altezza unaweza piga drift na turning za kutosha kama subaru lkn huwezi fanya ujinga huu na mark x , grand au brevis sio nyepesi kufanya mambo haya.. toyota altezza habari ya mujini....
 
Altezza ndani sio comfortable sana, seat zake zimekaa kigumu gumu Hivi, ila kwa drifting appreciate, pia Tezza haina kiu sana kama brevis, coz tezza cc1980 hafu brevis 2500 na engine ya tezza ni yamaha 3gs ya piston 4 au ipo ya 6
 
Tezza zipo za aina 3....2.0L 4cylinder, 2.0L 6 cylinder, na 3.0L 6cylinder hapo ni wewe na uwezo wako tuu...Marx na Brevis zipo 2.5L, na 3.0L hizo zote ni 6cylinder...Tezza ndani sio comfortable ila raha sana kuiendesha hasa upate yenye bomba(muffler) ya kuvutA mpaka raha aisee mixer na beibe pembeni hahahahaga
 
Teza Gita ina fall category gani hapo?
 
Teza Gita ina fall category gani hapo?
Tezza Gita kuna za aina mbili 2.0L 6 cylinder na 3.0L 6 cylinder hizo zote ni 24 valve aiseee....ukiipata ya 2.0L ni liter 1 kwa kilometer 7.1 ila ukiipata 3.0L aisee ni mwendo wa 6.25 km kwa liter moja
 
Kuna utofauti gani kati ya tezza ya kawaida na gitta? What abt Subaru Legacy?
 
Tezza ya kawaida si ni saloon ya kawaida, gita ni station wagon flani hivi tofauti ipo kwenye horse power maana 4 cylinder ni 200hp hii ni 2.0L, hakuna gita yenye ujazo huu, na pia kuna 2.0L(160hp) zipo kote tezza saloon na gita 3.0L(220hp)na hii zipo kote pia, mimi nachofahamu kwenye maswala ya sports ni hizo tezza saloon gita haipo ingawa ina ujazo sawa tofauti zitakuwepo lakini ni technical zaidi kuhusu subaru legacy nazo zipo mbili station wagon na saloon(4 doors) B4 na BP5 aisee ni tofauti za kama hapo juu kwenye tezza
 
Subaru Legacy Saloon na Tezza Saloon zina utofauti?
 
kupumulia mabasi mabasi kwa nyuma, kupumulia New Force....
Kwa barabara zipi?
 
Subaru Legacy Saloon na Tezza Saloon zina utofauti?
Tofauti zitakuwepo maana ni gari zinazochuana kwenye class moja ya saloon cars kwaio lazima zitakuwepo kama vile Rav 4 na Escudo zinavyochuana, 2005 waliacha kutumia jina la altezza na kutumia Lexus IS200 na Lexus IS300 haya magari ni ngumu kuyatofautisha sana sababu variety ya mtu ndo humfanya achague moja wapo ya hayo magari
 
Mi nawashangaa mkisema utawapumulia mabasi kwa nyuma, hivi, hata nikiwa na gx100 yangu, kuna basi gani la kucheza mbele yangu, ile ni machine bhana sema sijawahi kupata ligi ya brevis, mark x au alteeza

Usithubutu kwa hzo machine
Utajirestia in peace
Bado tunakuhitaji mdau
 
Watu wanaongelea kupumulia mabasi Kweli??Hata kwenye wiki ya nenda salama??Poleni wakuu mtaacha wajane na watoto mzigo kwa Taifa.Afu na nyie vijana mtakufa mzikwe na wazee babu zenu badala ya nyie kuwazika..Barabara zenyewe hizi?malori elfu,boda boda laki,wapita njia illiterate milioni..Mwe!Hivi maspidi ya nini???kwa faida ganii??
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Brevis ni hypertension, Kitu Subaru - Forester/Cross sport.
 
Usithubutu kwa hzo machine
Utajirestia in peace
Bado tunakuhitaji mdau
Wote mbwembwe tu nga gari ni UDEREVA MM NIKIWA NA toyota Sprinter cc 1450 hiyo brevis hainifuati kabisa.
 
Mi nawashangaa mkisema utawapumulia mabasi kwa nyuma, hivi, hata nikiwa na gx100 yangu, kuna basi gani la kucheza mbele yangu, ile ni machine bhana sema sijawahi kupata ligi ya brevis, mark x au alteeza

Mkuu brevis kwa gx atakuonea kama itapata dereva!
 
Back
Top Bottom