Toyota Brevis zina nini cha ziada?

Toyota Brevis zina nini cha ziada?

Wote mbwembwe tu nga gari ni UDEREVA MM NIKIWA NA toyota Sprinter cc 1450 hiyo brevis hainifuati kabisa.

Hahahahahah! U made my day hahahahah! Kimbizana na bajaj man! Brevis mashine kubwa,utanguza engine yako ya toyota sprinter ukifwata moto huo
 
BMW series 7 zina engine kubwa kuliko Toyota Bravis na inakula mafuta kama vitz kilometer 17 per litre

Gari ya kiume hii.. ImageUploadedByJamiiForums1438972865.803945.jpg ImageUploadedByJamiiForums1438972900.850751.jpg
 
brevis mashine kubwa man! kwanza jua kuwa brevis zote zinatumia engine ya Jz ambayo ni engine inayotumika katika sport car za toyota mfano toyota supra,
engine ya brevis imegawanyika katika mifumo na ukubwa
2.5L 1JZ-GE I6
2.5L 1JZ-FSE I6
3.0L 2JZ-GE I6
3.0L 2JZ-FSE I6
sasa iyo ya 3.0 ni balaa yani sijui gari gani nilinaweza kukimbiza iyo mashine
kinachowafaya watu wanunue brevis ni perfomance yake yan engine kama unapenda mbio basi nakushaur nunua brevis utafurahi.

Iyo 3.0 ni 220 hp mark x 3.0 ni 253 hp, nafikiri utakua ushajua gari gani inakimbia hapo
 
Tofauti zitakuwepo maana ni gari zinazochuana kwenye class moja ya saloon cars kwaio lazima zitakuwepo kama vile Rav 4 na Escudo zinavyochuana, 2005 waliacha kutumia jina la altezza na kutumia Lexus IS200 na Lexus IS300 haya magari ni ngumu kuyatofautisha sana sababu variety ya mtu ndo humfanya achague moja wapo ya hayo magari

Mkuu nikurekebishe kidogo, hawakuacha kutumia jina Altezza ilipofika 2005, Altezza ni model ilokusudiwa kuuzwa japan tu, na Lexus is200 ni kwa European market vile vile lexus is300, na ilopofika 2005, Altezza ikaekwa ikasitishwa kutengezwa pia is200 na is300, mbadala wa is200 na 300 ni is250.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi

Sawa kabisa arifu. Kama ilivyo Vitz kwa Japan na Yaris kwa Ulaya.
 
Sawa kabisa arifu. Kama ilivyo Vitz kwa Japan na Yaris kwa Ulaya.

Naam, hutokana na emmision control na mambo zengine ndio maana zinabadilishwa majina na engine kidogo ziweze ku comply na rules.
 
Kuna vitu vitatu lazima tuvielewe tunapoendesha magari, kwanza performance ya gari kwa jinsi ilivyotengenezwa, na hili linahusishwa na service ya gari husika. Cha pili na muhimu ni uwezo wa mtu binafsi katika kuendesha gari (mfano kuna watu wanatumia Carina, Premio na wengine wanatumia Prado, Alteza Subaru; lakini wanaotumia Carina, Premio ndio wanawahi kufika.)

Hii nina maana kuwa hata kama gari ina performance gani kama ni muoga huwezi shindana na mtu ambaye si mwoga na ana gari ambayo performance yake ni ndogo.

Cha mwisho ni uenyeji wa njia husika
..
 
Iyo 3.0 ni 220 hp mark x 3.0 ni 253 hp, nafikiri utakua ushajua gari gani inakimbia hapo

Hahahahah! Tofauti ni ndogo sana hisikutishe mzee 220hp na kwa 253 hp lakin jua kuwa brevis torque yake ni balaa mzee so tukiondoka mm yule kama rocket
 
Heheh...miss u buddy!!!

Miss u too my brevis looh sijui nimekupaisha sana kukupa engine ya brevis au nime Ku under rate. ... Maana hii thread imenivumbua kuhusu magari hasa hii brevis. Si wajua kaugonjwa kangu.... Magari khaa sijui nani aliniloga, yaani hata kama nimechoka nikiambiwa nitoke na Gari jipya yaani uchovu wote unaisha nakuwa mpyaa tabasamu halikauki njia mzima tehh sometimes I think am insane....
 
Kama yaliyosemwa kuhusu hii BMW series 7 ni kweli ntaifanyia Kazi kwa mwakani. Yaani engine capacity kama Toyota brevis means inakimbia mbaya hata plate number husomi, I love that coz napenda race sana. Halafu fuel usage kama vits.... Hii itanifaa sana labda tuu ukija kwenye spear zake isijekuwa zina bei kama spea za Benz. Wacha nikaisake ila sasa mbona amesema ya kiume? Mie mwanamama haitanifaa kuendesha?
 
Miss u too my brevis looh sijui nimekupaisha sana kukupa engine ya brevis au nime Ku under rate. ... Maana hii thread imenivumbua kuhusu magari hasa hii brevis. Si wajua kaugonjwa kangu.... Magari khaa sijui nani aliniloga, yaani hata kama nimechoka nikiambiwa nitoke na Gari jipya yaani uchovu wote unaisha nakuwa mpyaa tabasamu halikauki njia mzima tehh sometimes I think am insane....

So far huwa napenda magari makubwa angalau huko ndio huwa naenea...

Hizi gari ndogo napenda zile zenye injini kubwa kama hii Brevis na jamii zote za BMW...

Kasie mama ya magari tena...
 
So far huwa napenda magari makubwa angalau huko ndio huwa naenea...

Hizi gari ndogo napenda zile zenye injini kubwa kama hii Brevis na jamii zote za BMW...

Kasie mama ya magari tena...
Oooh so that's where came the meaning of watu8 looh (napenda magari ma kubwa) hehehee
Nikiwa nawasikiliza wanaume wanaongea kuhusu magari makali utasikia huyo mnyama unamuona heheheee
Kasie mamaa ya macrush na magari one day nitakupa offer ya Ku kuendesha from agakhan beach to sea cliff ..... Driving along the beach of course lazima awe mnyama mkali..... Just stay tuned wacha nipambane.
 
Kuna vipi vitatu lazima tuvielewe tunapoendesha magari,kwanza performance ya gari kwa jinsi ilivyotengenezwa,na hili linahusishwa na servise ya gari husika. Cha pili na muhimu ni uwezo wa mtu binafsi katika kuendesha gari,(mfano kuna watu wanatumia carina,premio na wengine wanatumia prado,alteza subaru lakini wanaotumia carina,premio ndio wanawahi kufika.) Hii nina maana kuwa hata kama gari ina performance gani kama ni muoga huwezi shindana na mtu ambaye si mwoga na ana gari ambayo performance yake ni ndogo. Cha mwisho ni uenyeji wa njia husika

Yeah upo sahihi sn. Me nikiwa na carina hata mtu awe na prado au hayo mengine nawaacha mbali sn.
 
Msaada wakuu kluger ya 2015, inaeza kuwa sh ngap? Mweny kufaham msaada plz.
 
Huyo hapo mnyama
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1439020374.893860.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1439020374.893860.jpg
    74.9 KB · Views: 361
Back
Top Bottom