Brevis ni mashine man nitakutafutia drag race ya Brevis na Mark X tumalize hubishi, lakin jua kama Mark x nizito sana tofaut na Brevis amabyo ni nyepesi, alafu kuhusu horsepower unakuta gari ina horsepower kubwa sana lakin hawezi mpata mwenye horsepower dongo,kuhusu gari kukimbia siyo horsepower tu kuna vitu vingi sana kama uzito wa gari,gear box yake ipoje na vingine vingi, kuhusu horse power tafuta gari linaitwa nissani gtr unakuta linahorsepower 650 lakini gari zinakujana horsepower 800 mpaka 900 hawakamati gtr, ndio gtr inapendawa sana usa na Europe ingawa ni gari ya japan
Mkuu kama gari ipi ina horsepower 800 kisha inaachwa na gtr?
By the way kuna video moja youtube drag race between bmw i thnk ni 3 series na bugatti, kwa kuanza kuondoka tu BMW kachomoka fasta bugatti akasoma plate number, lakini baadae mwenye bmw alipomaliza kupeswa tu mara ya pili baada ya kuondoka akawa anasoma plate number ya bugatti, this is my point now. Na kibrevis chako utaondoka mara moja, lakini utakapofika a certain speed utaona inaanza kuongozeka kidogo kidogo wakati mwenye horsepower kubwa inaongezeka haraka.