Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,097
- 173,808
Yap, 4GR nyepesi na hata kwa size 4GR ni ndogo ila perfomance ni nzuri kuliko JZ kwenye fuel economy. Ila naskia 4GR huwezi kui tune kuweka ma turbo sijui na makorokoro mengine ya aina hio. Sina hakika kama ni kweli ila wazee wa TRD ndio wanasema hilo Jz ndio zinafaaIla ni engine nzito sana yani tofauti na 4GR