Toyota Brevis Itabaki na Wanaume tu


Consigliere

Consigliere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Messages
9,491
Likes
12,664
Points
280
Consigliere

Consigliere

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2010
9,491 12,664 280
Watu wanazikimbia toyota brevis kuwa zinakula mafuta na spare ni ghali sana, kumbe ukiona mtu anendesha brevis ujue huyo ni mwanaume haswaaa.
Uanaume ni kuwa na matumizi ya hela ya kifala? Inaelekea hata hujui maana halisi ya uanaume ila unapenda wanaume.
 
LACHERO

LACHERO

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Messages
456
Likes
146
Points
60
LACHERO

LACHERO

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2011
456 146 60
Wacha ujinga ndugu, je wanaokimbia na Cruser FJ hapa mjini utawaitaje Cc 4000 alafu petrol..
Watu wanazikimbia toyota brevis kuwa zinakula mafuta na spare ni ghali sana, kumbe ukiona mtu anendesha brevis ujue huyo ni mwanaume haswaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Donkey

Donkey

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Messages
892
Likes
586
Points
180
Donkey

Donkey

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2010
892 586 180
Ujinga upi au wewe ndiyo mjinga unayekimbilia kujibu bila kuelewa swali, au umekurupuka kujibu bila kusoma swali, shule wote wanaingia darasani ila huwa kunakuwa na wa kwanza na wa mwisho
 

Forum statistics

Threads 1,251,868
Members 481,917
Posts 29,788,450