Toyota Brevis Itabaki na Wanaume tu


savage94

savage94

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2018
Messages
266
Likes
317
Points
80
savage94

savage94

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2018
266 317 80
bora mark x kuliko brevis!! hata kama pesa ya mafuta hainisumbui bado sioni haja ya kwenda kuitupa kwenye old brevis nikaacha mark x ambayo nayo inatumia mawese with better management na production yake still inaendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Donkey

Donkey

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Messages
892
Likes
586
Points
180
Donkey

Donkey

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2010
892 586 180
bora mark x kuliko brevis!! hata kama pesa ya mafuta hainisumbui bado sioni haja ya kwenda kuitupa kwenye old brevis nikaacha mark x ambayo nayo inatumia mawese with better management na production yake still inaendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa maneno yako tu inaonyesha brevis inakimbiwa sababu ya matunzo, big up wote brevis team
 
DeepPond

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Messages
7,527
Likes
8,562
Points
280
DeepPond

DeepPond

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2017
7,527 8,562 280
Inauma sana Kwakweli,

Kuona Mwanaume Mzima,
Bila Haya kabisa mbele za Wanaume wenzie

Anaamua kabisa kujitoa Ufahamu na kujidhalilisha hadharani kua anamiliki kigari yenye thamani ya shilingi 10mil.

So Sad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmavele jr

Mmavele jr

Senior Member
Joined
Aug 14, 2014
Messages
129
Likes
43
Points
45
Mmavele jr

Mmavele jr

Senior Member
Joined Aug 14, 2014
129 43 45
Tatizo la brevis ni bei yake haiendani na gharama zake za uendeshaji iko very cheap
so vijana tunaojichanga huku na huku miaka 3 kupata 12m ya usafiri ni ngumu kumanage huduma zake

kwa maisha yetu ya kibongo hayaa yoyote anaemiliki gari hata iwe paso na anadrive bila shida yoyote ni wakupewa heshima tu
 
ndalibanza

ndalibanza

Senior Member
Joined
Jan 6, 2014
Messages
138
Likes
24
Points
35
Age
33
ndalibanza

ndalibanza

Senior Member
Joined Jan 6, 2014
138 24 35
Kipato kinapoongezeka na matumizi pia huongezeka! Brevis ni gari nzuri Kama zilivyo nyingine inahitaji matunzo mazuri tu, kama Kipato chako ni cha kuunga unga gari hii utaitambua vizuri tu kuwa sio size yako. Unachokipenda wewe naweza nisikipende mimi japo ukweli utabaki pale pale mbuzi hula majani kwa urefu wa kamba yake.
 

Forum statistics

Threads 1,251,866
Members 481,916
Posts 29,788,523