Toyota Brevis Itabaki na Wanaume tu

Ila ni engine nzito sana yani tofauti na 4GR
Yap, 4GR nyepesi na hata kwa size 4GR ni ndogo ila perfomance ni nzuri kuliko JZ kwenye fuel economy. Ila naskia 4GR huwezi kui tune kuweka ma turbo sijui na makorokoro mengine ya aina hio. Sina hakika kama ni kweli ila wazee wa TRD ndio wanasema hilo Jz ndio zinafaa
 
Hahaha si ziko kwa vipimo boss kazi, unafikiri kusema cc2500 wanajipangia tu. Tofauti inakuja kwenye technology ya uchomaji mafuta na gearbox. Hapo wajukuu wa hitler ndipo napowakubali. Their cars are really fast.
Nadhani tumeelewana na tunaweza kuzungumza lugha moja.
Maana naona watu wanadeal na CC tu bila kujua technology iliyopo ndani yake.....

So ishu ya kutumia mafuta mengi kumbe tatizo sio CC tatizo ni teknolojia ya kina Akihito kua bado sana mana kuna jamaa apo juu katoa povu watu wachukue CC900 akisahau kua mafuta ya CC900 mjapan ni karibu sawa na >>1500 ya Hilter.
 
Zipo fuel efficient sana
 
Ukiikuta kwenye gx110 imesukwa na ma turbo utaipenda. Inapepea kama karatasi

Hahah niliwahi kua na celica ila yenyewe ilikua 1Jz-GE ila nadhani ningefanya swap kwa 1Jz-GTE ingekua makida zaidi.

Nikiokotaga hela naitamani aristo yenye 2Jz-GTE manina.

Kuna tourer-V Jzx100 inauzwa huko be forward CIF yake tu $15,862 ukija jumlisha na TRA unaweza kujuta ila hua naiangalia kila mara afu nasema tu hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Kuna muhuni ana gx81 anakatizaga nayo kitaa ni shida. Unaiskia ile 1Jz stock inavyovuma af li manual sasa.
Hahah huyo ukiiponda 1JZ hawezi kukuelewa kabisa,ila haya madude ya ki-old hua yana hamasa yake kinoma.

Nairobi niliichek hio Jeep SRT8 cc6200 V8 iko moded HP inatoa 1500,acha kabisaaa linatembea kama Jet ya ardhini.
 
Hahah niliwahi kua na celica ila yenyewe ilikua 1Jz-GE ila nadhani ningefanya swap kwa 1Jz-GTE ingekua makida zaidi.

Nikiokotaga hela naitamani aristo yenye 2Jz-GTE manina.

Kuna tourer-V Jzx100 inauzwa huko be forward CIF yake tu $15,862 ukija jumlisha na TRA unaweza kujuta ila hua naiangalia kila mara afu nasema tu hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Hio si ishapigwa makila kinga. Nmeiona hio beforward nadhani. Ina ma spoiler kama yote ma kit kibao. Yani ikitua town tu unatafta wenye visubaru kuwatoa upepo!
 
Back
Top Bottom