Gogo la choo usijali sana atakuja kukojoa utafaidi japo kwa hilo!!!Daaahhh..!!i love you mtoto mzuri..ningekuwa mtoto wa fisadi hapa bongo ningekutafuta popote ulipo Duniani ili nione mambo yako..!!daahhh...napata msononeko wa Moyo..!!
Mkuu Allien, Ingekua hiyari yangu ningekuchagua uwe mfalme Mswati wa bongo. Maana unavyopenda totozi!!!!!!!!!!!!!! Hata Mr. Dhaifu magogoni hakukuti.
Allien I wish ningekuwa nakufahamu wewe na Mkeo/Mpenzio ili nimuone jinsi alivyo mzurii na mrembo... Sababu kaka (if you are) you have an eye for em' pretty ladies na unastahili pongezi. Nahisi katika reality mwanamke ambaye hana mvuto hata akiwa mbele yako humuoni kabisaaa... Lol.