Totoz Kali Za Bongo! Approved By Allien!

Totoz Kali Za Bongo! Approved By Allien!

Mkuu hukuiona hii?:

Tujibu na swali lake!

woote hapa wanakaa chini!
huyu mama ni mkubwa bana!lakini anawakimbiza kimbiza mujhini humu wenyewe saluti!
napenda taste yake ya nguo!
hajawahi kuvaa akaboronga bana!
af sio issue ya mkwanja manake kuna watu wana kisu cha kueleweka tu mujhini hap lakini hawana hii kitu aliyonayo rita paulsen kwenye swala zima la uchaguzi wa nini avae na wapi!

SALUTE KWAKO mamiii!
 
hapa ndo khabar ya mujini, no clubbin no wat...umetisha allien....yes, truly you're an allien...lol
 
laiti uzuri wa mwanamke ungekua yote ni sura,, dah wabongo wengi wangekosa waume maana kujitunza sura kwa wabongo wengi si hulka,,, , ,ila kwako umetisha maana hivi vitu kwanza vinapita kwenye adobe ndo unaviappreciate dah
 
Hivi kati ya hao uliowaweka hakuna ambaoni member humu mkuu Allien?Lazima kuna ambao ni member humu,what do you think mwaJ?

BTW mkuu Allien naona umebadili avatar,nilikuwa nimekuozea na ile ya kiallien haswa!

jmushi1 members wamo ila wengine wanaongelea nje ya uwanja!
 
Last edited by a moderator:
ahahahahhahahhahahhahahhahaahahha pole sana bana!
imouta ya league!
si kila siku nakwambia nimeangukia kinyume nyume af pia nikageukia upande upande pata picha mwenyewe!
ahahhahahahahhahha pana chezeya kabisa teiyst ya Allien utanifanya nitafuta jhni tao hwa oh!
ngoja nipitishe bakuli! SnowBall pach wangu naadhirika huku patia mimi mbesa niende hu jhni tao kupata hii fasi ya kidate na Allien mwaJ patia mimi access ya hilo licurve lako na mimi jamani loh!sio unaishia kugonga like tu mwanzo mwisho ilhali unajua mwendhio naumia huku!loh!

Yaani snowhite nimecheka saaaanaa! Nacheka mpaka nakosa cha kuandika! Hapa nilipo nashindwa kudanganya maana Allien ni jirani yangu huku space town! Mie kama yeye nafurahia kuona mabinti warembo thats all. Sina curve yoyote labda kama unataka nikuazime namba 1! Lol!

Btw, huna haja ya kuumia wala kwenda kutafuta jhni ntao hwa hong maana pasipo na curve pana urembo mwingine. Kila binti ana urembo wake best. We jitose tu kwenye li-date la Allien atakubali mwenyewe! Ha ha ha haaaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Yaani snowhite nimecheka saaaanaa! Nacheka mpaka nakosa cha kuandika! Hapa nilipo nashindwa kudanganya maana Allien ni jirani yangu huku space town! Mie kama yeye nafurahia kuona mabinti warembo thats all. Sina curve yoyote labda kama unataka nikuazime namba 1! Lol!

Btw, huna haja ya kuumia wala kwenda kutafuta jhni ntao hwa hong maana pasipo na curve pana urembo mwingine. Kila binti ana urembo wake best. We jitose tu kwenye li-date la Allien atakubali mwenyewe! Ha ha ha haaaaaaaa!

bora umenipa moyo mwaya!manake Allien anantisha ati!
mambo ya kupigwa pasi kiasi hiki na kuwa na hipsi mabegani unafikiri kwa hawa warembo anaoweka humu si najidiskwalify mwenyewe!lol
mwaya hongera kwa kucheka umeumbiwa kutabasamu mpenzi wangu!jimwage!
 
Last edited by a moderator:
Allien I wish ningekuwa nakufahamu wewe na Mkeo/Mpenzio ili nimuone jinsi alivyo mzurii na mrembo... Sababu kaka (if you are) you have an eye for em' pretty ladies na unastahili pongezi. Nahisi katika reality mwanamke ambaye hana mvuto hata akiwa mbele yako humuoni kabisaaa... Lol.

Ha ha haaaaaaa!!!
 
hawa warembo wapo bongo kweli au change la macho?mbona sijawahi kutana nao?!
 
Hii Totoz nasikia inatumia pills wakati timilifu ambazo kunako 6X6 zinaifanya body temperature yake kuwa slightly above 37 Dedgrees Centigrade, hapo hakuna kidume kinaweza chomoa. A reason why she is still rocking and top of the line.

Hii kitu ina ukweli? sitaki maswali!


Wema-Sepetu.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom