andate
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 2,651
- 1,024
mtoto kavaa kapeti. LOL
mtoto kavaa kapeti. LOL
aisee hebu tuwekee picha yake hapa..yupo huyo..!!
Wewe usije fanya mama Yoyoo akaniacha. Hapa ni appreciation na kusafisha macho tu! Basi. Like looking into flowers!
Hapo kwenye red inategemeana na mvuto wenyewe ati.
Kimsingi hakuna mwanamke ambaye hana mvuto; sema tuu mvuto unatofautiana from one person to another.
Kuna ambaye atavutiwa na gOOgle ya nyuma, mwingine atavutiwa zaidi na gOOgle ya kifuani.
Mwingine hata ikiwa yahoo au ning ni sawa tuu; what matters ni search results.
Kuna wengine mpaka kuwe na some add-ons kama Firefox vile.
Cheki mfano mkuu Allien naona karibu picha zote zina Add-ons maeneo ya kichwani.
Halafu kama vile Add-ons za miguuni hazimati sana kwake maana kuna picha nyingi hazionyeshi miguu?
Mkuu Allien respect!

Allien kile kidate kitakuwepo kweli ahahahhahahahhahhahah we mbaya sana bana!dah!
bhape bhuraha bhananchi bhaone bhenyewe!
Ulipokataa kunitumia picha kwanza wakati yangu unaiona kwenye Avatyar nikaanza kusita. Mpango mzima napenda onana na totoz ya nguvu yenye curves unajua?
Sasa nilipoona maneno yamekuwa mengi kuliko vitendo, nikavaa zile nguo faster nikaenda Ethiopia kwanza kusafisha macho.
Sasa I am back tunaweza kuongea.
Niambie sasa naona kigugumizi . . . .
Na ungekuwa mtoto wa fisadi tungeshakuwa tumeshakuzika siku nyingi sana!!Daaahhh..!!i love you mtoto mzuri..ningekuwa mtoto wa fisadi hapa bongo ningekutafuta popote ulipo Duniani ili nione mambo yako..!!daahhh...napata msononeko wa Moyo..!!
Angalia Babu wa Mikocheni asije akaku-RIP
Nimemkubali kwa asilimia 100!!