Allien I wish ningekuwa nakufahamu wewe na Mkeo/Mpenzio ili nimuone jinsi alivyo mzurii na mrembo... Sababu kaka (if you are) you have an eye for em' pretty ladies na unastahili pongezi. Nahisi katika reality mwanamke ambaye hana mvuto hata akiwa mbele yako humuoni kabisaaa... Lol.
Sikonge, shindano linaandaliwa kiuhalisia I mean Miss Bantu 2013, Kaa mkao wa kula. Mbavu za Mjomba Lundenga hazina soko tena, wadau wanataka nyama nyama ile ya ukweli!
Utakuwa Judge au Mtazamaji?
Mie bana nipo huku SIKONGE ni mbali sana na hayo mashindano yenu ya LAANA (Sheik wa Miss Bantu).
Nikifanikiwa basi sanasana ntaangalia tu kwenye TV ya jirani kama atakubali. Kama ikitokea niwepo mjini basi lazima niwe kiti cha mbele kabisa. Kama nikikosa cha mbele basi ntafika na KIONA MBALI changu mfukoni kama wanavyofanya kwenye Big Theatre watazamaji VIP.