Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Sisi tunawapa sapoti Toto, lakini kiukweli sisi tuna ligi yetu ndogo ndani ya ligi kuu, sisi tuna ligi na Azam, Coastal na Mtibwa, na nyie mna ligi yenu na JKT Oljoro, Prison na Kagera Sugar, kwa hiyo sisi hatuhusiki na ligi yenu ndogo ndani ya ligi kuu, nyie mna yenu ya timu nne na sisi tuna yetu ya timu nne.
Hahaha kumbe ulikuwa unachungulia kama guest najua wewe kilumba utagawa point kwa madogohahahahaaha, ngoja nimwite mke wangu akusute..hahahaha
Muda si mrefu naye atapotea.
jamani acheni kubishana leo lazima yanga ishinde kwani hamjui Toto ni tawi la Yanga?
hivi unatalajia toto washinde, chezea pesa ya epa
Pesa ya EPA inawasaidia sana watani vinginevyo mlikuwa mfungwe nne bila...
Daima mbele nyuma mwikoYanga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.....
Sana sana mkijitahidi mtakuja kuungana na sisi tucheze ligi ndogo ndani ya ligi, tukiona vipi tunagawa timu mbili mbili sisi tunabaki na Azam na nyie mtatafuta wa kucheza na nyie kwenye ligi yenu ndogo ndani ya ligi kuu, Hongereni lakini kufikisha pointi kumi na moja na magoli kumi na moja na manane ya kufungwa.Mkitoka mikoani hususan mkipita kirumba haya maneno hutathubutu kurudia kuyasema.
Nyie mmekubali kumkabidhi mikoba yooote rage njaa kali, fedha yote ya simba ameielekeza kwenye siasa sasa unategemea nini.
Nakushangaa kamanda ada yako ya uanachama inakwenda kujenga chama huko tabora. hahaha
Hahaha kumbe ulikuwa unachungulia kama guest najua wewe kilumba utagawa point kwa madogo
hahahha Masuke kasema hiii"sisi tuna
ligi na Azam, Coastal na Mtibwa, na nyie mna ligi
yenu na JKT Oljoro, Prison na Kagera Sugar, kwa
hiyo sisi hatuhusiki na ligi yenu ndogo ndani ya
ligi kuu," hahahah haya sio maneno yangu kwa hio msinichukie
Mfa maji..................Pesa ya EPA inawasaidia sana watani vinginevyo mlikuwa mfungwe nne bila...
Mwita weka siasa pembeni bana
mpira umeisha hongereni wadau wa yanga toto kafunga goli moja yanga wana point 11 sasa na wamepaa hadi nafasi ya tatu wameishuha timu ya kagera
Sana sana mkijitahidi mtakuja kuungana na sisi tucheze ligi ndogo ndani ya ligi, tukiona vipi tunagawa timu mbili mbili sisi tunabaki na Azam na nyie mtatafuta wa kucheza na nyie kwenye ligi yenu ndogo ndani ya ligi kuu, Hongereni lakini kufikisha pointi kumi na moja na magoli kumi na moja na manane ya kufungwa.