TOTO AFRICAN VS YANGA Live

aa mohamedi hussein pande la mtu sasa ... Haha dah wameuchukua tena haya kandambili
 
hivi kwa hali ilivyo kunamtu alitegemea yanga itafungwa leo...!?
 
Sisi tunawapa sapoti Toto, lakini kiukweli sisi tuna ligi yetu ndogo ndani ya ligi kuu, sisi tuna ligi na Azam, Prison na Kagera Sugar, na nyie mna ligi yenu na JKT Oljoro, Mtibwa na Coastal, kwa hiyo sisi hatuhusiki na ligi yenu ndogo ndani ya ligi kuu, nyie mna yenu ya timu nne na sisi tuna yetu ya timu nne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…