Topical,Kipeng'e,Jk wa ukweli,malaria sugu,Kashaga,Zubeda nk. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Topical,Kipeng'e,Jk wa ukweli,malaria sugu,Kashaga,Zubeda nk.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mshikachuma, Mar 15, 2011.

 1. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Topical,Kipeng'e,Jk wa ukweli,Malaria sugu,Kashaga,Zubeda na wengineo wanaofanana na mitazamo kama ya hawa watu.
  Siyo siri hawa jamaa wanakera ni balaaa......yaani hawa jamaa wako against kwa kila kitu!. Imetokea umetuma topic yako hapa jamvini alafu iingiliwe na mmoja kati ya hawa jamaa,basi ujue hiyo topic yako haitajibiwa tena na macommenter....badala yake macommenter wote watakuwa busy kujibu upupu wa hawa jamaa tu na kutoka nje ya mada. Yaani hawa jamaa kwenye...YES....watasema.....NO....na kwenye....NO....watasema....YES. Yaani ni watu wa fujo na maneno ya kutia hasira kupita kiasi. Hivi wanaJF kunafaida yoyote kuchangia kwenye topic au comment za hawa watu? Au kuna faida flani tunapochangia kwenye comment zao za ki uzushi uzushi?.
  Nakaribisha mgongano wa kimawazo na kimtazamo -: Ahsanteni
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Taarifa za Kiintelijensia zilisema huu mtandao JF umeingiliwa na watoto wa Mafisadi..halafu Mafisadi wakubwa yaani baba zao wapo kwenye Magazeti na Ma-TV....hao uliowataja ni baadhi tu,wapo wengi
   
 3. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Sasa tufanyaje kuondokana na hawa watu?
   
 4. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Kwasababu huu ni mtandao huru...dawa yao ni kuwapotezea tu!!
   
 5. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Usijibu comment zao we jibu ile thread ya msingi mwisho wao watachoka
   
 6. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Sawa.....wewe na mimi hatutawajibu.....lakini utakuta kunawatu wengine wanaanza kuwajibu.....na wanatoka nje ya mada husika
   
 7. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hivi wewe....ni SHE.....au....ni HE.....maana hii Avatar yako inanichanganya.
   
 8. Halfcaste

  Halfcaste JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 973
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Tunajidili ''Viatu"
   
 9. Halfcaste

  Halfcaste JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 973
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Tunajadili ''Viatu"
   
 10. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  wengine wote wanaiga. ila malaria sugu ni mtambo. hata mimi namkubali. jabo huwa anapost pumba, siku zote huwa najisikia burdan kusoma post zake. pumba zinazonifanya nicheke husaidia hata kujenga afya yangu.

  bravo malaria sugu.

  the rest uliowataja ni mavuvuzela tu.
   
 11. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mshikachuma! Mbona kkundi cha hao mabinti tunakifahamu... So Wapoteze tu hao mabint walisharambwa, hawana issue, wametumwa hao!
   
 12. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  hakun haja ya kuondokana nao wala kuwaogopa cha muhimu ni kuendelea kuchakata hoja tena penye ukweli tunaweka wazi ili wajue sisi hatuwaogopi mafisadi wanaoota vitambi kwa pesa zetu
   
 13. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mmmh.....Mkuu umenivunja mbavu sana.....unamfagilia malaria sugu? Unajuaje labda topical,kupeng'e ndiye huyo huyo malaria sugu?
   
 14. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #14
  Mar 15, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ingawaje unaonesha kukosa uvumilivu wa kuhimili hoja tofauti na unachokiamini na kuonyesha udikteta wa kutaka kulazimisha watu wote wawe na mawazo sawa na wewe, lakini mwisho wa post yako umemalizia vizuri hapo kwenye RED!! jee ni kweli unakaribisha mgongano wa kimawazo na kimtazamo?

  Kama uko tayari inakuaje tena kutulaumu sisi tunaogongana na nyinyi kimawazo na kimtazamo? mbona unajichanganya?
   
 15. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #15
  Mar 15, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu Pompo.....hawa watu ni noma ile mbaya!.....yaani wakiingia kwenye topic yako tu....ujue hiyo mada ni kwishney.
  Hawa ni virus wa JF
   
 16. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #16
  Mar 15, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Tatizo lenu ninyi kila kitu mnakuwa wabishi tuuu.....hata penye ukweli mnapageuza kuwa ni uongo....
   
 17. c

  chamajani JF-Expert Member

  #17
  Mar 15, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli hata mimi malaria sugu pindipo anapofungiwa nahisi kama jukwaa limepooza, jamaa ana pumba-dawa hassa! Huwa nasoma post zake ili kurefresh-kucheka na keyboard siyo jambo simple bana. In short malaria sugu mtambo bana!
   
 18. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #18
  Mar 15, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  huu ni upuuzi,nonsense na crap kwani umekosa cha kuongea dogo? mbona kuna mambo mengi ya kuongelea,acha ushamba we kama hutaki kucomment kaa kimya ila sisi mwanzo mwisho tutatoa hoja zenye kuwagusa hadi kieleweke kwani JF ndo mahali pa kila mtu bila kujali itikadi kutoa dukuduku lake! hapa ndo nimeanza mbona bado???/ALUTA CONTINUA
   
 19. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #19
  Mar 15, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda hiyo sighnecha yako....maana imenisaidia kufahamu kuwa wewe ni mtu wa aina gani.
   
 20. chobu

  chobu JF-Expert Member

  #20
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Jamani nawakumbusha tu! "Jasho la mtu haliliwi!!!!!!!!!!!
   
Loading...