Soma Hii Kama Unataka Kujifunza SIRI Hii ya Mauzo Kutoka Kwa Hawa Vijana Wawili wa Chuo!..

Seif Mselem

JF-Expert Member
Oct 16, 2023
257
441
…Miaka ya 70’s Nchini Marekani…
.
Katika Chuo Kikuu cha…“Harvard”
.
(Harvard University)
.
…walikwepo Vijana wawili Wadogo waliojulikana Kama…
.
“Bill na Paul”
.
Walikuwa ni Vijana wa kawaida Waliopenda Kuchezea na Kujifunza Computer na Computer programming Muda wote…
.
Siku moja Bill akiwa Hosteli amepumzika… Aliletewa habari Nzuri na Mwezake Paul kuwa…
.
Kuna Kampuni moja Lilolokuwa Linataka Kutengenezewa… “Operating System”
.
Kama Hufahamu Tu...
.
Operating System ni...
.
Program ambayo Ikiwepo kwenye Kifaa chako Aidha ni Simu au Computer Inafanya kazi ya ku Manage...
.
Application zingine Zote ambazo Zitakuwa Installed
.
Mfano...
.
Kwenye Computer kuna...Window, Ubuntu, Linux na IOS!
.
Na...
.
Kwenye Simu kuna...Android na IOS!
.
Kwahiyo...
.
Kwa haraka haraka Bill akajua huu Utakuwa ni Mchongo wa Kupiga Hela…
.
Na…

Walikuwa na Wazo kwamba Kama wakikaa chini wakatulia Basi walikuwa wanaweza Kutengeneza hiyo Operating System na Kufanya kazi
.
Bill Akamuuliza Paul… “So, what do we do?”
.
Paul Akajibu kwa Kujiamini…
.
“Let’s Get into Work”
.
Madogo Wakaingia Mzigoni…
.
Ndani ya kama Siku 7 Hivi tayari wakawa Wamemaliza Kuunda Mfumo Mzima wa hiyo… Operating System!
.
Wakapanda Pipa (Ndege) wakaenda Hadi kwenye Ofisi Kuu za hiyo Kampuni…
.
LAKINI…
.
Wakati wanafika Wakakuta tayari Kuna Mjasiriamali mwingine kama wao Tayari yupo Ofisini akisubiri kufanya Presentation ya kile alichokuwa nacho…
.
Kwahiyo… wakati wa Presentation ulipofika aliaanza Kuingia yule waliomkuta…
.
Jamaa alikuwa…
.
Yuko Rafuu (Amevaa Vibaya)…
.
Nywele Ziko Hovyo…
.
Anaongea kwa Kiburi…
.
n.k…
.
Kwahiyo...Baada ya Kumaliza Presentation yake…
.
Mkurugenzi wa Kampuni aliipenda Operating System ya jamaa japo Hakumpenda Mtengenezaji
.
(Yaani… Hakumpenda Jamaa Jinsi Alivyo)!
.
…Ilipofika zamu ya Bill na Paul kufanya Presentation kwa Mkurugenzi yule yule…
.
Mkurugenzi Alisema… Amependa Wazo Lao LAKINI Ameipenda zaidi Operating System ya yule Jamaa mwingine…
.
Yaani…
.
Kwa Maneno Mengine Rahisi ni Kwamba…
.
Mkurugenzi alitaka Kununua kutoka kwa Hawa Vijana wawili wa Chuo, Lakini walikuwa Wanataka aina Nyingine ya Operating System!
.
Na… Hapo ndipo vichwa vya Bill na Paul vilipowaka Moto ili Kujua wangefanyaje…
.
Kama baada ya Dkk 15 za Ukimya… Paul akaja na Wazo moja Makini sana…
.
Unajua Alifikiria Nini Paul?..
.
Okay… Angalia Hapa Chini
.
Anamwambia Bill Sasa…
.
“Kama Mkurugenzi kaipenda Operating System (OS) ya Jamaa ILA Hajataka kununua toka kwake… Kwanini Sisi tusiende Kununua hiyo OS Kisha tuje kuiuza kwenye hii Kampuni?”
.
Ilikuwa ni Bomba moja ya Idea ambalo Bill Hakufikiria Kabisa…
.
Bila kupoteza Muda Bill na Paul walipanda Chopa (Ndege) hadi Seattle… Mji ambao huyu Jamaa mwenye hiyo OS alikuwa Akiishi…
.
Wakafanya Negotiations za Kununua, Kisha wakarudi kwa Mkurugenzi wa Kampuni…Waka install na ku test hiyo OS Mpya…
.
Kwa Bahati Nzuri… ILIFANIKIWA!
.
Na… hapo Ndio ukawa Mwanzo wa Kuzaliwa kwa Biashara Mpya…
.
Na…
.
Kampuni kubwa ya Kutengeneza Operating System Duniani...
.
Inayoitwa...“Microsoft Company”
.
Na...
.
Hao Vijana wawili wa Chuo Ndio…
.
“Bill Gates na Paul Allen”…Unaowajua hadi Leo hii!
.
Kwahiyo…
.
Kwenye kufanya Maamuzi… Watu wote hufanya Maamuzi kutokana na “HISIA” zao na Hisia zote Zinatokana na Jinsi mtu anavyojisikia Kuhusu Wewe au Mtu mwingine!
.
So... Nini Moral ya Hii Story Yote?
.
Okay… Kabla Sijakwambia, Ngoja kwanza Nikuulize Hili Swali Hapa Chini
.
“Unadhani... Kwanini Mkurugenzi Hakutaka kununua Operating System Kutoka kwa yule Jamaa wa Kwanza?”
.
Kama Majibu yako Yanafanana na Hivi… Basi Uko Sahihi
.
Angalia Hapa…
.
Ni…
.
Kwasababu… Yule jamaa alikuwa Hafanani na watu anao Wauzia hiyo OS yake!
.
Alikuwa Anakosa Kitu Kimoja Kinaitwa…
.
“SIMILARITY au COMMONALITY”
.
Ukweli ni kwamba… Watu huwa wako Tayari kununua au Kufanya biashara na Wauzaji wanaofanana na Wao!
.
Ukimuangalia kwa Makini yule jamaa…
.
Utagundua alikuwa Hafanani na watu wa Ofisini ambao ndio walikuwa Wateja wake wa hiyo OS Ndio sababu alipofika… Mkurugenzi alimuona Kama ni Mtu Mgeni
.
Na… Watu huwa hawanunua Kutoka kwa Watu Wasiowajua
.
A.K.A… Wageni!
.
(People DON’T Buy Things From Strangers)!
.
Ndio Maana… Mkurugenzi alipenda Kazi yake Lakini Hakumpenda mwenye Kazi…
.
Na…“Similarity”
.
Ndicho kitu Kilichowapa dili kina Bill Gates na Paul Allen…
.
Kwasababu… Waliingia kwenye Presentation wakiwa na Mwonekano sawa na Wateja wao…
.
Kisha Kikatengenezwa Kitu Kinaitwa…

“LIKABILITY”
.
Yaani… Bill na Paul walitokea Kupendwa na Mkurugenzi kutokana na Mfanano walionao kwa Mnunuzi wa OS yao
.
Na… Kama unavyofahamu wana Chuo wanavyovaa
.
(Simple But Smart)!
.
Kwahiyo…
.
Hata kama wewe Unataka Kuongeza Mauzo kwenye Biashara yako… Basi ANZA Kwanza kwa Kufanana na Wateja au Walengwa wako!
.
Hiyo Ndio Itakuwa SIRI yako ya Kuwa Maili kumi Mbele ya washindani zako Sokoni…
.
Na…
.
Hiyo “SIMILARITY” ni Moja ya Kipande Kidogo tu Katika…SIRI Kuu 5 za Kufanya watu Wakupende na Wafanye kama Unavyotaka…
.
Kwahiyo…
.
Kama unataka Kuwa na Kitu Kinaitwa… “Likable Traits” kwenye Biashara yako basi…
.
Nenda Ukurasa wa 87 wa Kitabu Changu Kipya cha… “CHANGE”
.
Nimekuelezea Kitu hicho kwa Kina zaidi + Mifano ya Kutosha ya kwenye Mazingira yetu ya Kibongo…
.
Kwahiyo…
.
Kama Ungependa Kujifunza Zaidi… Basi fanya Ukitafute Kitabu Hicho.
.
Kwasababu... Unaendelea Kupitwa na Madini Mengi na Adimu Kupatikana!
.
By the way...
.
Kama Umependa Makala hii... Usiache ku Comment na ku Like hapa Chini
.
Na...
.
Kama Una Maoni au Mawazo yoyote ya Kuongezea hapa Chini... Karibu Uwanja ni wako.
.
I Hope Umejifunza Kitu!
.
Uwe na IJUMAH Kareem.
.
PEACE

Bill ni ukoo wa Malkia Elizabeth na Rockefeller ujue
 
Back
Top Bottom