Ganda la ushuru
Senior Member
- Mar 18, 2020
- 132
- 112
Salaam wana jamvi,
Matumaini yangu mapambano dhidi ya Corona yanaendelea. Straight to the point, tukumbuke enzi za kitabu, kiukweli kuna topic ziliwahi nisumbua wakati nasoma moja wapo ilikuwa ni Electromagnetism na Co-ordinate II, share na wewe topic ambazo zilikuwa pasua kichwa kwako.