Top ten ya wabunge wa bara wanaomaliza muda wao

Top ten ya wabunge wa bara wanaomaliza muda wao

Ivi babake riz atarudi magogoni au ndo anaenda kupumzika NYUU YOKU SITI?
 
Kigwangalla atapitishwa na ccm kwa ubabe ndan ya chama halafu atatahamia Chadema na kushinda.
 
Kuelekea uchaguzi mkuu mwakani kuna wabunge wengi sn hawatarudi. Karibu nusu ya wabunge waliopo sasa watakua wanaangalia bunge kupitia TV. Kuna watakaochujwa kwny kura za maoni ndani ya vyama vyao, lakini wengine wataangushwa kwny uchaguzi mkuu.

**NB: Haya ni maoni yangu binafsi na hayafungamani na chama/asasi au kikundi chochote. Si lazima ukubaliane nayo, maana na wewe unaweza kuwa na maoni yako pia.!

Unasema ni maoni yako binafsi na hufungamani na chama/asasi au kikundi chochote lakini unatoa utabiri wa Chadema kushinda majimbo yote uliyoyataja? It does not add up.
 
Wapi maghembe??wapi matayo wote hao tupa nje bila kumsahau Anna kilango
 
Umemsahau mh mathias chikawe waziri wa mambo ya ndani.. Wananchi wa Nachingwea tumemchoka hakuna alichofanya.. 2015 atafute shughuli ya kufanya
 
Unasema ni maoni yako binafsi na hufungamani na chama/asasi au kikundi chochote lakini unatoa utabiri wa Chadema kushinda majimbo yote uliyoyataja? It does not add up.

hayo ndiyo maoni yake, sasa wewe unachotaka ni nini?
 
Wabunge wa upinzani waliopata kwa Bahati kuingia bungeni ambao hatutawaona tena ktk bunge letu baada ya uchaguzi ni:I
1 John Mnyika.
2 Godbless Lema
3 Joseph Mbilinyi
4 Peter Msigwa
5 Joshua Nansari
6 Ezekiel Wenje
7 Tundu Lissu
8 Mbatia
9 Slaa ( anampango wa kugombea)
10 Mbowe ( atagombea urais na kupigwa chini)
 
Suma mamlo aisee huyu mbunge kweli walah sijawahi msikia hv hao wananchi waliomchagua wazima kweli yaani hata kumsikia naunga mkono hoja 100 kwa 100 sijawahi kweli tz kuna maajabu ya dunia
 
Unasema ni maoni yako binafsi na hufungamani na chama/asasi au kikundi chochote lakini unatoa utabiri wa Chadema kushinda majimbo yote uliyoyataja? It does not add up.

Ulitaka niseme CCM watashinda ndipo uamini ni maoni yangu??
 
Mkuu hawana cha kukosa shughuli hawa jamaa hupeana posho sawa sawa, awe Kingunge au Ngeleja, tafuta dataz vizuri mkuu utaupata ukweli,

Kabla ya kwenda huko kwenye kampeni CCM hukutana kuchagua mtu wa kwenda, ndipo hapo ujue huyu Ngeleja kwa kutaka kujiweka vizuri kichama, alijitolea kwenda, maana sehemu kama Tarime, wajumbe wengi hukacha kwenda, wengi hupenda sehemu za mijini!

Huyu Ngeleja alisimama na kuwaomba wajumbe kuwa yeye yuko radhi kwenda huko, ndio maana unaona ameenda! Ili kujikomba kichama waziri mzima maana hajiamini kabisa kwenye hiyo nafasi!

Kampeni hazijaanza afu mbona unakipa promo chadema hata sehemu kisikokubalika kutumika bana ni sawa na janga la taifa
 
Back
Top Bottom