Top ten ya wabunge wa bara wanaomaliza muda wao

Top ten ya wabunge wa bara wanaomaliza muda wao

Watu wa Bunda Tafadhali saana, tuondolee hilo dude, weka mtu sense za utu si za kinyama. Nadhani na huyu ataondoka.

Umeandika nini sasa hivi mzima wewe kweli Uzi huu unahusiana nini na pumba zako hizo
 
Wabunge wa upinzani waliopata kwa Bahati kuingia bungeni ambao hatutawaona tena ktk bunge letu baada ya uchaguzi ni:I
1 John Mnyika.
2 Godbless Lema
3 Joseph Mbilinyi
4 Peter Msigwa
5 Joshua Nansari
6 Ezekiel Wenje
7 Tundu Lissu
8 Mbatia
9 Slaa ( anampango wa kugombea)
10 Mbowe ( atagombea urais na kupigwa chini)

11.highness kiwia -ilemela
Jimbo linarudi ccm
 
ole medeye wa ARUMERU MAGHARIBU itabidi naye atafute kazi ya kufanya bila kumsahau Augustine lyatonga Mrema, Job Ndugai wa Kongwa na Hamadi Rashidi Hamadi,
 
Cheyo_Brd Mashariki hana nafasi,Cdm kupitia Makondo watashinda kiurahisi sana,Maswa majimbo yote CDM watarudi,Chenge yuko 50% kwa chama chake na 30% kwa wananchi.
 
Mkuu unaamin vp kuwa act n genge la wahuni na wasaliti na sio chadema
 
ACT,genge la wasaliti na wenye uchu wa madaraka ,wanaolewa sifa kama Lucifa a.k.a Lusifeli

Mkuu unaamn vp kuwa act n genge la wahuni na wasaliti na sio chadema
 
Stephane Masatu Wasira wa Bunda, Esta Bulaya amemkalia kooni vibaya, CCM wakilazimisha kumpitisha kwenye kura za maoni basi CHADEMA watashinda.
Gregory George Teu wa Mpwapwa, wananchi wake bado wanasubiri barabara ya lami, Jimbo hili haliwezi kuchukuliwa na upinzani kwa miaka 15 ijayo. George Malima Lubeleje atarejea kwenye kiti chake. Christopher ole Sendeka wa simanjiro, chama chake kimemchoka. chadema watashinda kupitia james ole milia
 
ubongo wako umeganda nina wasiwasi wamekutoa milembe jana:cool2:
 
Tujumlishe na hawa:

1. Hawa Gasia.
2. Ntukamazina (karibu na Burundi).
3. Lukuvi.
4. Kawambwa.
5. Vita Kawawa.
6. Joni Komba.
7. Mulugo.
8. Mkamia maji Juma.
9. Kapuya.
10. Anne Makinda (Huyu kazeeka sana).[/QUOTE
ntukamazina anaondoka mchana, chadema itashinda
 
Jitu Patel Babati vijijini.
Chadema watamwangusha
 
Dr.Steven Kebwe (Serengeti) wafadhili na wapiga kampeni wake wakubwa wamembwaga,wananchi hawana hamu naye!Dr.Wanyancha nae anampumulia kisogoni.CDM na CCM 51/49
 
Back
Top Bottom