Top ten ya wabunge wa bara wanaomaliza muda wao

Top ten ya wabunge wa bara wanaomaliza muda wao

Bila Kumsahau Mama Yetu,ana Makinda,anakazi Ngumu Kurudi,vipi Mh Wa Mwongozo Job,ndugai?Ngoma Nzito Ni Arusha Mjini,lema Anaweza Kupita,vipi Kwa Mzee Wamsituni John Komba Atarudi?Na Yule Jamaa Haongei Nambwa?Anaongea Namwenye Mbwa Atarudi Mjengon?Kuna Yule Wa Dodoma Wapesa Kukosadhaman Kwakuwa Inapicha Yanyoka Atarudi Mjengon?Nayule Wakigoma Mtukanaji,ananafasi Yakurudi Mjengon?
 
John Chiligati manyoni mashariki,John Luwanji manyoni magharibi
 
Hamna lolote ni ushabiki usio na maana tu ndo unakuzuzua,wenzako wanapiga hela we unakalia kubwabwaja tu
Kuelekea uchaguzi mkuu mwakani kuna wabunge wengi sn hawatarudi. Karibu nusu ya wabunge waliopo sasa watakua wanaangalia bunge kupitia TV. Kuna watakaochujwa kwny kura za maoni ndani ya vyama vyao, lakini wengine wataangushwa kwny uchaguzi mkuu.

Kwa maoni yangu hawa ndio wabunge 10 ambao WANA UHAKIKA wa kutokurudi bungeni mwakani. Hawa wataungana na wengine zaidi ya 100 ambao safari yao pia inaishia mwakani.!

1.Cyril August Chami-Moshi (V)
(Ameshindwa kuleta maendeleo jimboni, wananchi wamemkinai na pia chama chake kimepoteza umaarufu jimboni kwake).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.

2.Said Arfi-Sumbawanga (m).
(Wananchi wamemkinai na chama chake kimemchoka).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.

3.John Shibuda-Maswa (mash)
(Wananchi wamemkinai na chama chake kimemchoka).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.

4.Aggrey Mwanri (Siha).
(ana uwezo lakini chama chake kimepoteza umaarufu jimboni kwake na CHADEMA imedominate sn. Hata baadhi ya wanafamilia wake ni Chadema).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.

5.Joseph Selasini-Rombo
(wananchi wamemkinai japo chama chake bado kina nguvu jimboni).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.

6.Stephen Massele-Shinyanga (m)
(wananchi wamemkinai na chama chake kimepoteza umaarufu jimboni kwake).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.

7.Willium Ngeleja (Sengerema).
(Wananchi wamemkinai japo bado chama chake bado kina nguvu jimboni kwake)
ANTICIPATION: CCM watashinda.

8.Mch.Luckson Mwanjali-Mbeya (v)
(wananchi wamemkinai na chama chake kimepoteza umaarufu jimboni kwake. However hajui kujenga hoja kbs huyu mzee).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.

9.Emmanuel John Nchimbi-Songea (m)
(Wananchi wamemkinai na chama chake kimepoteza umaarufu jimboni kwake).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.

10.Kisyeri Chambiri-Babati (m)
(wananchi wamemkinai na chama chake kimepoteza umaarufu jimboni kwake).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.

**NB: Haya ni maoni yangu binafsi na hayafungamani na chama/asasi au kikundi chochote. Si lazima ukubaliane nayo, maana na wewe unaweza kuwa na maoni yako pia.!
 
Mawazo yana conflict of interest na yamekaa kibavicha bavicha,kila anticipation eti "chadema wanashinda"
Una mawazo finyu sana
 
komba, yeye atakuwa msituni, kwahiyo jimbo litakuwa wazi. atakayeshinda malizia mwenyewe.
 
agustino manyanda masele mb jumbo la Mbogwe lazima aage mashindano mapema regardless mwamko mdogo wa wananchi wa jimbo hilo jipya
 
Umemsahau Eugen Mwaiposa ( Ukonga) wananchi tumekinai kupita maelezo naapa huyu hapiti
 
Tujumlishe na hawa:
1. Hawa Gasia.
2. Ntukamazina (karibu na Burundi).
3. Lukuvi.
4. Kawambwa.
5. Vita Kawawa.
6. Joni Komba.
7. Mulugo.
8. Mkamia maji Juma.
9. Kapuya.
10. Anne Makinda (Huyu kazeeka sana).
 
Kuna mbunge mmoja ni zigo anaitwa Bukwimba wa jimbo la Busanda akirudi bungeni 2015 nitajua watu wa Busanda tumerogwa, pia hata Marx wa Geita mjini ni wale wale kasoro majina.

Hahhaaha poleni na aliyewaroga atakuwa amekufa
 
Back
Top Bottom