Top ten ya wabunge wa bara wanaomaliza muda wao

Top ten ya wabunge wa bara wanaomaliza muda wao

Ongezea #[Prof Mark Mwandosya*] jimbo lake liko wazi

Mwakyusa japo wanaobashiri wanadai Kasesera anaweza kunyakua lakini cdm wakishupalia tunampoka kasesera kirahisi

AMEHAGA TAYARI MZEE,kazi kwa vijana wa busokelo.
 
Una haki ya kuwa na maoni yako, lakini kama unalifahamu hili jimbo la Mbeya Vijijini na nguvu ilizokuwa nazo Chadema kwenye jimbo hili kuelekea uchaguzi wa 2010 lakini pamoja na hivyo nguvu hizo hazikutosha kushinda.

Kwa sasa Chadema sio tishio tena kwenye jimbo hili. Ukilinganisha nguvu zao (waliposhindwa) na nguvu zao za sasa bila shaka hili jimbo litabaki CCM.Mbunge wa jimbo hili ataamuliwa kwa kura za maoni za ndani ya CCM, na kwa hali iliyopo sasa bado Mchungaji Mwanjali ana uwezekano mkubwa wa kushinda ndani ya chama chake pia.

Kwa mkoa wa Mbeya ushindani mkali bila shaka utakuwa katika majimbo ya Mbeya Mjini, Mbozi Mashariki, na Mbozi
Magharibi. Majimbo yaliyobaki CCM haitakuwa na shida sana

Jimbo la Mbarali linaweza kuwa na ushindani kama CCM watamtema Kirufi ambaye amekuwa na migogoro sana na viongozi wenzake kwenye chama, wakifanya hivyo bila shaka atatafuta chama cha kugombea na kuwasumbua sana.

Niko mby vjjn...hayo usemayo ni sawa lkn wananchi kwa sasa wameyaweka moyoni tu...Mwanjali hawezi kupita...
 
Tukipata TUME huru ya uchaguzi, kama inavyopendekezwa mabadiliko ya katiba ya 1977 endapo katiba mpya haitapatikana, then iamuliwe kuwa wakurugenzi wa wilaya na halmashauri kuondolewa ktk kusimamia CHAGUZI...hapo tutakuwa tunawahesabu wabunge wa Ccm kwa mafungu watakaong'oka...na Hilo wanalojua vyema. Kutakuwa na kilio na kusaga meno, MAANA matokeo yote yatakuwa yanapatikana mara yakihesabiwa, hakuna ubia na polisi au wakurugenzi wa uchaguzi na kuchakachua, ccm watalia tu mitaani...
 
Mbakaji....mbunge wa Urambo magharibi..Kapuya kachuja na hana mpango na wananchi. Sana sana anajilimbikizia maeneo ya wilaya mpya ya Kaliua. Mwanaye Baraka anachapa makonde watu hovyo.
ANTICIPATION: UKAWA watashinda.
 
mbunge wa ukerewe salvatory machemli (cdm) anapumlia mashine nami nitachanga karata yangu kwa utashi,nidhamu na uzalendo ili kulinda heshima ya chama changu ndani ya jimbo hili
 
Kuelekea uchaguzi mkuu mwakani kuna wabunge wengi sn hawatarudi. Karibu nusu ya wabunge waliopo sasa watakua wanaangalia bunge kupitia TV. Kuna watakaochujwa kwny kura za maoni ndani ya vyama vyao, lakini wengine wataangushwa kwny uchaguzi mkuu.

Kwa maoni yangu hawa ndio wabunge 10 ambao WANA UHAKIKA wa kutokurudi bungeni mwakani. Hawa wataungana na wengine zaidi ya 100 ambao safari yao pia inaishia mwakani.!

1.Cyril August Chami-Moshi (V)
(Ameshindwa kuleta maendeleo jimboni, wananchi wamemkinai na pia chama chake kimepoteza umaarufu jimboni kwake).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.

2.Said Arfi-Sumbawanga (m).
(Wananchi wamemkinai na chama chake kimemchoka).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.

3.John Shibuda-Maswa (mash)
(Wananchi wamemkinai na chama chake kimemchoka).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.

4.Aggrey Mwanri (Siha).
(ana uwezo lakini chama chake kimepoteza umaarufu jimboni kwake na CHADEMA imedominate sn. Hata baadhi ya wanafamilia wake ni Chadema).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.

5.Joseph Selasini-Rombo
(wananchi wamemkinai japo chama chake bado kina nguvu jimboni).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.

6.Stephen Massele-Shinyanga (m)
(wananchi wamemkinai na chama chake kimepoteza umaarufu jimboni kwake).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.

7.Willium Ngeleja (Sengerema).
(Wananchi wamemkinai japo bado chama chake bado kina nguvu jimboni kwake)
ANTICIPATION: CCM watashinda.

8.Mch.Luckson Mwanjali-Mbeya (v)
(wananchi wamemkinai na chama chake kimepoteza umaarufu jimboni kwake. However hajui kujenga hoja kbs huyu mzee).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.

9.Emmanuel John Nchimbi-Songea (m)
(Wananchi wamemkinai na chama chake kimepoteza umaarufu jimboni kwake).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.

10.Kisyeri Chambiri-Babati (m)
(wananchi wamemkinai na chama chake kimepoteza umaarufu jimboni kwake).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.

**NB: Haya ni maoni yangu binafsi na hayafungamani na chama/asasi au kikundi chochote. Si lazima ukubaliane nayo, maana na wewe unaweza kuwa na maoni yako pia.!

Huna lolote la maana uliloweka hapa. Kumbe kelele zote lengo lako ni kuishia kwenye CHADEMA kushinda.
 
Zitto Zuberi Kabwe mchawi kutoka Kigoma.

hawezi kurudi bungeni hata agombee chama chochote cha siasa ,hata akigombea kama mgombea binafsi harudi bungeni kisa mbinafsi.

Anticipation:nccr au ccm watashinda
 
Kwanza katiba inarusu mtu kuwa raisi na mbunge ?,membe si atakuwa raisi au ameghairi
 
1.Nyambari nyangwine tarime na lameck airo wa rorya nao watakuwa out 2015
 
khaa!! Dr sugu na dr msigwa walipata ubunge kwa ajali tu hata wenyewe wanajua. Sasa hivi wanajiandaa kurudia kazi zao za zamani


Majimbo yote yaliyo makao makuu ya mikoa yatapotea kwa huku kusini.ccm hawana ubavu wa kuyachukua majimbo hayo, labda chadema wawaache lakini vinginevyo ccm watajisumbua tu kama walivyojisumbua 2010 mpanda,sumbawanga,mbeya,lindi na iringa.Mwaka 2015 yataongezeka mtwara mjini [cuf),songea (cdm) kama nchimbi atafanya umafia wake aliofanya 2010,
 
1.Nyambari nyangwine tarime na lameck airo wa rorya nao watakuwa out 2015

wananchi wa nyangwine ndo bure kabisa , mtu mwenye akili huwezi chagua mbunge wa design hii, mbunge hana charity
 
Back
Top Bottom