kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,898
ninaposikia tu ccm kichefu chefu
Itakua CCM imekupa mimba
ninaposikia tu ccm kichefu chefu
Watu wa Bunda Tafadhali saana, tuondolee hilo dude, weka mtu sense za utu si za kinyama. Nadhani na huyu ataondoka.
Membe na Bakari Malima nao wapo ICU
CDM na sisi tutapoteza majimbo lakini pia yapo mengi tutayaongeza. Sumbawanga mjini lipo wazi mno.
Yuko wapi Mutungirehi jamani?Jimbo la Gosbert Blandes (Karagwe) na jimbo Katagira (Kyerwa) CCM hayo majimbo naona yako wazi kabisa chama chochote kinaweza kushinda, wakitokea wagombea wazuri wenye mlengo wa kisasa na mtizamo tofauti na wa hawa jamaa wawili (kuiba mali za wananchi) na kuwapa elimu ya kutosha dhidi ya ubadhilifu wa fedha zao na pia kuwaonesha fursa walizonazo kujikwamua na umaskini unaowasumbua.Blandesi na mwenzake ubunge watausikia kwenye redio
Ndugu, Bakari Malima? Yule 'Jembee Ulaya' wa Yanga? Ni kweli kabisa Wabunge wote siwafahamu. Na hili jina ndo kwanza nalisoma kuwa ni miongoni mwa wabunge wa BJT! Mwenye ufafanuzi naomba msaada!
Sumbawanga mjini yupo ndugu mmoja anaitwaa Edson Makalo. Huyu alikuwa apite safari ilopita kama si mizengwe. Anamvuto bado miongoni mwa wana jimbo!
. Kajipange vzur arfi sio mbunge wa sumbawanga mjinKuelekea uchaguzi mkuu mwakani kuna wabunge wengi sn hawatarudi. Karibu nusu ya wabunge waliopo sasa watakua wanaangalia bunge kupitia TV. Kuna watakaochujwa kwny kura za maoni ndani ya vyama vyao, lakini wengine wataangushwa kwny uchaguzi mkuu.
Kwa maoni yangu hawa ndio wabunge 10 ambao WANA UHAKIKA wa kutokurudi bungeni mwakani. Hawa wataungana na wengine zaidi ya 100 ambao safari yao pia inaishia mwakani.!
1.Cyril August Chami-Moshi (V)
(Ameshindwa kuleta maendeleo jimboni, wananchi wamemkinai na pia chama chake kimepoteza umaarufu jimboni kwake).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.
2.Said Arfi-Sumbawanga (m).
(Wananchi wamemkinai na chama chake kimemchoka).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.
3.John Shibuda-Maswa (mash)
(Wananchi wamemkinai na chama chake kimemchoka).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.
4.Aggrey Mwanri (Siha).
(ana uwezo lakini chama chake kimepoteza umaarufu jimboni kwake na CHADEMA imedominate sn. Hata baadhi ya wanafamilia wake ni Chadema).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.
5.Joseph Selasini-Rombo
(wananchi wamemkinai japo chama chake bado kina nguvu jimboni).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.
6.Stephen Massele-Shinyanga (m)
(wananchi wamemkinai na chama chake kimepoteza umaarufu jimboni kwake).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.
7.Willium Ngeleja (Sengerema).
(Wananchi wamemkinai japo bado chama chake bado kina nguvu jimboni kwake)
ANTICIPATION: CCM watashinda.
8.Mch.Luckson Mwanjali-Mbeya (v)
(wananchi wamemkinai na chama chake kimepoteza umaarufu jimboni kwake. However hajui kujenga hoja kbs huyu mzee).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.
9.Emmanuel John Nchimbi-Songea (m)
(Wananchi wamemkinai na chama chake kimepoteza umaarufu jimboni kwake).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.
10.Kisyeri Chambiri-Babati (m)
(wananchi wamemkinai na chama chake kimepoteza umaarufu jimboni kwake).
ANTICIPATION: Chadema watashinda.
**NB: Haya ni maoni yangu binafsi na hayafungamani na chama/asasi au kikundi chochote. Si lazima ukubaliane nayo, maana na wewe unaweza kuwa na maoni yako pia.!
Bila shaka alimaanisha Adam malima