Top ten ya wabunge wa bara wanaomaliza muda wao

Top ten ya wabunge wa bara wanaomaliza muda wao

JF CDM wana viti vingi sana vya ubunge!

Majimboni naamini CDM watashindwa sana Biharamulo (Mbassa) CCM itashinda, Ushirombo (Prof. ) CCM itashinda, Ikungi (Lissu) CCM itashinda, Kibondo (Mkosamali) CCM itashinda, Kasulu (Machali) CCM itashinda, Mwanza (--) CCM itashinda, Ubungo (Mnyika) CCM itashinda

Mahali kwingi CCM itarudisha majimbo
 
Mnapenda kujidanganya na kujifurahisha na Ushindi ktk Jf na Fb mwisho wa siku mnakung'utwa hadi mnakua nyang'a nyang'a na huwa mnapotea humu hata kwa mwezi na tafiti zenu za kuwatumia akina Dr. Matunge na Mwizukulu Jilala mwakani mtashangaa wananchi watapowapoka hata kdg mlichonacho mtashangaa na kulia na kusaga meno yaani kitachowapateni mtajuta kuijua CCM.
 
BMK litamnyanyua tena Paul Kimiti CCM- Sumbawanga mjini. Point of correction, Said Arfi ni wa Mpanda mjini-CDM kwa sasa.
 
Sengerema niya mageuzi,CDM akisimama Tabasamu,ccm chali,msuli wake kisiasa Sengerema si haba huyu bwana.
 
Back
Top Bottom