Top CCM leader secretly funding opposition party

Kweli fedha ni mwanaharamu, hata Prof. Lipumba ....! kwa njaa zetu hizi vita ni ngumu. Yes, i say again 'Watanzania wengi ni opportunist'

- Got it! Mara ya kwanza niliposema Lipumba ni a compromise Mkulu Kitila ulipiga sana kelele hapa kwamba unamjua vizuri sana ni a man of principle, my foot!

Respect.

FMEs!
 
"Ah! huu ni ugomvi wa Bw. Mengi tu usioisha. Nani asiyefadhiliwa katika dunia ya leo. Tuwe makini jamani. Tusijeingia kwenye vita vya panzi!"
____________________________________

sarahmossi:

Siyo wote wanafadhiliwa na watu, na s si kwa namna hiyo ya kuwasaliti Watanzania wanaopigania haki chini ya slogan ya "HAKI SAWA KWA WIOTE".

Tunafahamu wewe unafadhiliwa na RA ndiyo maana kama muandishi wa Habari Corpn umehamishiwa gazeti la RAI ili uwe unaaandika stori zinazotoka kwake bila kuhoji. Bila shaka unafadhiliwa kwa kazi hiyo ya kunyanyasika kama muandishi unayejidai kuwa huria.

Acha huu!!!!
 
Mkuu humtendei haki mpiganaji wetu.Yeye Zitto na mimi nikiwemo tuliogopa athari za nchi kuingia gizani na jisi mustakabari wa uchumi wa nchi utakavyoathirika.Mimi ni mwenyeji wa kyela na mwanachama wa CHADEMA,nilikuwa shuhuda kukatika kwa umeme kule Mbeya kwa mda wa miezi miwili.Athari yake ikwa mbaya kwa wajasirimali wadogo.Hawa ni kama vile waziba pancha za magari,wachomeleaji,waendesha saloon n.k.Katika tukio lile sitasahau wajasirimali walivyosumbuliwa na Micro-credit Lenders wengi wao walinyang'anywa vitendea kazi walivyopata kutoka asasi hizo.
Uzalishaji uliathirika na kazi ndogondogo za kuajiri vijana wabangaizaji zikasitishwa,sikilizia nondo zilivyoanza kutembea kuanzia saa 2 usiku.Usalama kwa wakazi wa Mbeya ukawa umetoweka na mpaka ninapoandika ujumbe huu kwenu hali ya matembezi usiku jiji la Mbeya si nzuri.
Kwa hiyo ndugu usikimbilie kutoa hukumu kwa wenzako bila kufanya utafiti.Kamanda Zitto anajiamini na yuko tayari kusimamia hoja zake sio hao mashujaa wako wa CCM wanapigania maslahi ya makundi yao na chuki binafsi.Huu wizi wa EPA hawakuuona mpaka pale Zitto alipopokelewa kwa vifijo na matumaini na watanzania baada ya kusimamishwa ubunge kutokana na sakata la Buzwagi.Kuona hivyo,hao mashujaa wenu kwa kutaka kupotosha ndio wakaanza kujitokeza na hisia za kizalendo feki.Ila sisi wenye kufikirisha vichwa vyetu tulijua hiyo trick yao.Kamanda Zitto kaza buti nenda kanoe bongo yako maana ujumbe wako umeongeza akina Zitto wengi hata ndani ya CCM maelfu kwa maelfu.Kamanda Zitto Moto ulioanzisha hautazimwa kwa njia yeyote na wadandia hoja.Hivi punde nimepata taarifa kuwa Mh.Lyatonga kahutubia watu 20 kwenye uzinduzi wake wa kampeni!Aibu kubwa!

sasa hii imekaa je? wajameni
Kwahiyo hapa mnamtendea haki anayekaa hotelini ama lipumba .?Kweli ndivyo tulivyo.Binafsi sioni logic Siasa sio uadui ,siasa ni kama mchezo wa mpira wa mguu mnapigana viatu uwanjani harafu mkitoka nje marafiki.Ufisadi wake haufungamani na matatizo ya mtu,Mfano nina Mgonjwa fedha sina eti nimwache mgonjwa afariki eti naogopa msaada ama kukopa kutoka kwa RA.CAN U?
 
Kwani nyie hamjui kuwa vyama vyote Tanzania ni mchezo wa kuigiza?
 
MBOWE and SLAA beware! The Great Shark Rostam Aziz must be now zeroing on you two! He needs to grab you (the still free leaders) by his paws!
Chacha Wangwe mpiganaji, Rest in Peace. We needed you man!
 
Naona tayari watu mmeshaamini hii taarifa ni kweli na kwamba CUF, NCCR na TLP ndio wapokea dau, kitu gani kinawafanya muiondoe CHADEMA?

Haya mambo ya Mengi na RA yanatufanya wengine tujiulize kwanza kabla ya kuamini jambo.

Thisday si wataje majina tu? Mbona articles zao zingine wanataja majina bila wasiwasi mkubwa? Hata kama sio kutaja majina basi watoe ushahidi zaidi.

Hii habari imekaa kama ni mwendelezo ule ule wa vita vya Mapapa na Manyangumi. Kibaya kwenye hii vita yao wanaingiza ndani na watu ambao hawana uhusiano kabisa na hayo mambo yao.
 
"Naona tayari watu mmeshaamini hii taarifa ni kweli na kwamba CUF, NCCR na TLP ndio wapokea dau, kitu gani kinawafanya muiondoe CHADEMA?

Haya mambo ya Mengi na RA yanatufanya wengine tujiulize kwanza kabla ya kuamini jambo.

Thisday si wataje majina tu? Mbona articles zao zingine wanataja majina bila wasiwasi mkubwa? Hata kama sio kutaja majina basi watoe ushahidi zaidi.

Hii habari imekaa kama ni mwendelezo ule ule wa vita vya Mapapa na Manyangumi. Kibaya kwenye hii vita yao wanaingiza ndani na watu ambao hawana uhusiano kabisa na hayo mambo yao."

_______________________________________

Mtanzania:

Ni vigumu kukubaliana nawe hasa nikizingatia kuwa post zako zote (zile kuhusu vita dhidi ya ufisadi) unakuwa upande wa mafisadi -- kiujanjaujanja.

Hakuna mwendelezo wa vita hiyo ya 'mapapa na manyangumi' -- kwanza hata hiyo vita hakuna -- iko katika imagination ya mtu kama wewe. RA alisound very unconvincing kuhusu 'nyangumi' accusations -- aliteka very few supporters -- wewe ukiwa mmoja wao.

Uswahiba wa Jussa na RA unajulikana. Na mchongo huu umepitia hapo. Na ndiyo maana CUF inashindwa kuwa mstari wa mbele katika vita ya ufisadi. Inajiingiza only 'through the motions' lakini sincerity hakuna. Imeshindwa muafaka -- sasa agenda yake ni nini?

Hivi haoni kwamba CUF na popularity yake inaporomoka vibaya sana mbele ya Chadema? Unataka Busanda ngapi hilo kukaa akilini? CUF siku nyingi ilikuwa na matatizo ya credibility pamoja na kuwa the biggest opposition party huko nyuma.

Akina Lipumba wameongezea matatizo kwa ku-back the wrong horse kwa ajili ya fedha. CUF kaputtt!!!!!!!!!! Kushney!!!!!!!!!!!!!

MBOWE and SLAA beware! The Great Shark Rostam Aziz must be now zeroing on you two! He needs to grab you (the still free leaders) by his paws!
Chacha Wangwe mpiganaji, Rest in Peace. We needed you man!

Mkuu pole jee unajua pesa ya chopa inatoka wapi
We chunguza bata tuu kama nyama yake utaila kuna watu wengi wanajifanya wana mapenzi na nchi lakini wenyewe wamekubali RA ni kiboko an anaogopwa hata kushinda JK
 
Fedha ya chopa huwa anawakopesha Mbowe ,harafu wakitoka hapo wanamlipa posho yote kwa miaka yote.Kweli meno ya mbwa hayaumani
 
Mbowe ana madeni makubwa sana, Mengi hamsaidii chochote kie kila kukicha anampa ahadi tuuuu

sasa leo akipewa pesa na R.A atakataaa? after all FM is in politics for a reason au hamjui hilo?
 
Mbowe ana madeni makubwa sana, Mengi hamsaidii chochote kie kila kukicha anampa ahadi tuuuu

sasa leo akipewa pesa na R.A atakataaa? after all FM is in politics for a reason au hamjui hilo?[/QUOTE]

Mkuu hatujui, tujuvye basi...
 
"Naona tayari watu mmeshaamini hii taarifa ni kweli na kwamba CUF, NCCR na TLP ndio wapokea dau, kitu gani kinawafanya muiondoe CHADEMA?

Haya mambo ya Mengi na RA yanatufanya wengine tujiulize kwanza kabla ya kuamini jambo.

Thisday si wataje majina tu? Mbona articles zao zingine wanataja majina bila wasiwasi mkubwa? Hata kama sio kutaja majina basi watoe ushahidi zaidi.

Hii habari imekaa kama ni mwendelezo ule ule wa vita vya Mapapa na Manyangumi. Kibaya kwenye hii vita yao wanaingiza ndani na watu ambao hawana uhusiano kabisa na hayo mambo yao."
_______________________________________

Mtanzania:

Ni vigumu kukubaliana nawe hasa nikizingatia kuwa post zako zote (zile kuhusu vita dhidi ya ufisadi) unakuwa upande wa mafisadi -- kiujanjaujanja.

Hakuna mwendelezo wa vita hiyo ya 'mapapa na manyangumi' -- kwanza hata hiyo vita hakuna -- iko katika imagination ya mtu kama wewe. RA alisound very unconvincing kuhusu 'nyangumi' accusations -- aliteka very few supporters -- wewe ukiwa mmoja wao.

Uswahiba wa Jussa na RA unajulikana. Na mchongo huu umepitia hapo. Na ndiyo maana CUF inashindwa kuwa mstari wa mbele katika vita ya ufisadi. Inajiingiza only 'through the motions' lakini sincerity hakuna. Imeshindwa muafaka -- sasa agenda yake ni nini?

Hivi haoni kwamba CUF na popularity yake inaporomoka vibaya sana mbele ya Chadema? Unataka Busanda ngapi hilo kukaa akilini? CUF siku nyingi ilikuwa na matatizo ya credibility pamoja na kuwa the biggest opposition party huko nyuma.

Akina Lipumba wameongezea matatizo kwa ku-back the wrong horse kwa ajili ya fedha. CUF kaputtt!!!!!!!!!! Kushney!!!!!!!!!!!!!
Hard Hitter,

Unaweza kuamini ulitakalo kuhusu mimi ila tu sio mjinga wa kuingia kwenye vita vya watu bila kufikiri.

Nenda kule Kyela kasikia huyo huyo Mengi na watu wake wanaenda hata kudanganya watu makanisani kwamba kuna watu wamehongwa pesa wakati ni upuzi mtupu usio na ukweli hata tone? Unataka watu kama hao wakija na madai yasiyo na ushahidi wowote niwaamini? Labda waamini wewe.

Nina imani kubwa na thisday lakini sio kwa uandishi wa habari kama hii; inaonekana ni mambo ya hearsay kuliko facts. Mnataka kumshambulia mtu kama prof. Lipumba bila kuleta data za uhakika ili iweje? Huenda sababu kubwa ni kwamba hakumuunga mkono Mengi?

CUF ina viti vingi bungeni na kwenye serikali za mitaa kuliko CHADEMA, utasemaje inaporomoka? Unatumia data ulizokusanya lini? Muda wote CUF ni imara Zanzibar na hata juzi uchaguzi wa Zanzibar wamechukua nafasi ya pili, sasa huko kuporomoka kunatoka wapi?

Hivi kama huyo kiongozi anataka kuhonga ili ikitokea upinzani wakachukua madaraka wamlinde, kweli atawapa pesa akina Mtikila? Au NCCR? Au TLP? Ina make sense kweli? Hivyo vyama kweli vina hata nafasi ya kuingia madarakani Tanzania?

Labda mwandishi aseme huyo mtu anatoa pesa ili kuyumbisha upinzani lakini sio hiyo ya kama kujilinda yeye. Story nzima imekaa kama ya kupikwa pikwa tu.
 
Mtanzania,
Sikuona mahali popote gazeti limemgusia Lipumba. Aliyemtaja Lipumba kwa maulizo alikuwa Sikonge. Na akajibiwa baadaye kuwa anayesemwa kuhifadhiwa hoteli si Lipumba.
 
Mtanzania,
Sikuona mahali popote gazeti limemgusia Lipumba. Aliyemtaja Lipumba kwa maulizo alikuwa Sikonge. Na akajibiwa baadaye kuwa anayesemwa kuhifadhiwa hoteli si Lipumba.
Jasusi,

Wapi nimesema thisday limemgusa Lipumba? Kuhusu prof. Lipumba nimeongelea baadhi ya wana JF.
 
Fedha ya chopa huwa anawakopesha Mbowe ,harafu wakitoka hapo wanamlipa posho yote kwa miaka yote.Kweli meno ya mbwa hayaumani

Mbowe atawakopesha kwa pesa ipi ? ya disko au hoteli wanayolipa kodi za kila aina
Mambo ya Voda hayo biashara kwa $ halafu tax free jumlisha na madudu mengine
Tutakuwa na bajeti tegememezi mpaka nchi ibinafsishwe
 
Ukweli nikwamba Mrema, Freeman, Lipumba, na hata baba yako mzazi hawezi kataa hela zabure.... simple as..!
 
Mkuu... nimekupata lakini bado sijaridhishwa na maelezo yako kuwa generators za dowans pekee ndio zingetuondolea hiyo kadhia! Why it was dowans only and not else? Halafu Zito alitumia juhudi za ziada kupigania wazo lake!!!
Mkuu mda nao ulikuwa umetutupa mkono na ukumbuke ishara ya serikali kutekeleza maagizo ya bunge ilikuwa imetoweka.Badala ya kutekeleza maagizo ,serikali ikapeleka maigizo ya kesi ya Gire.Sisi wengine kwa kuangalia athari ambazo zingelikumba taifa kwa kuingia gizani tukaona ni afadhali tuinunue hiyo Mitambo ya Dowans ambayo tunayo hapahapa.Lakini wenzetu mkakataa na sisi tukakubali ya wengi wape,rejea thread hiyo ya Dowans na ile aliyoanzisha Mwanakijiji kwa kichwa cha habari''Mwachieni Gire Nunueni Mitambo ya Dowans Yaishe'' .
Mimi ninachokipinga tabia ya watu kukosa uvumilivu ya mawazo yanayotofautiana na ya kwao na kuanza kushutumiana kuwa fulani kanunuliwa.
 
Back
Top Bottom