1. Irreplaceable you
View attachment 1999498
Abbie(gugu mbatha) na Sam hawa walikuwa marafiki toka utotoni baadae waka wapenzi. Abbie alijihisi ana ujauzito lakin mwisho waligungua sio ujauzito bali alikuwa na kansa, sasa Abbie akaanza mchakato wa kumtaftia Sam dem(mwanamke) mwingne wakudate nae pindi yeye atakapo kuwa amefariki.
2.Forevar my girl
View attachment 1999499
3. The notebook
View attachment 1999503
Allie anapoteza kumbukumbu zake zote Noah anaamua kumsaidia kurecover kumbukumbu zake kwa kumsomea story inayohusu maisha yao ya mapenzi toka siku wanaonana. Mwisho Allie anarudiwa na kumbukumbu zake na anamtambua Noah ni nan (hapo akiwa hospital) mwisho wa siku wanakutwa wakiwa wamefariki wakiwa wamekumbatiana .
4.love, Rosie
View attachment 1999501
Rosie na Alex walikuwa washikaji(marafiki) sana toka utotoni. Tatzo linaanza pale kila mmoja anapoanza kuwa na feelings kwa mwenzie lakin anazuga(anajidai) kama vile rafiki tu mwisho wa siku kila mtu anajikuta anaingia kwenye mahusiano na mtu ambaye sio sahihi.
5. Fault in our stars
View attachment 1999500
Nyongeza:
Me before you
View attachment 1999502
sanam teri kasam
View attachment 1999601
The Light Between Oceans
View attachment 1999610