Top 5 yako ya Romantic Movies

Top 5 yako ya Romantic Movies

Play store yangu sijui ikoje..siipati aisee. Nafanyaje sijui. Kuna mtu anaweza iweka hapa hiyo link niichukulie kutokea hapa? Please
Tumia telegram then search hizi channel

-NETNAIJA MOVIES
-NAIJA NETFLIX
-MOVIES LOVER
-SPECIAL MOVIES
-Movie Hub
-Movies world (files only)
-TGMoviesBot (hapa unapata movie kwa ku-search)

Hapa unapata movie yeyote latest ,nilikuwaga na mpango wa kujiunga Netflix Lkn jamaa yangu alinisogezea hizi channel Sina tena mpango huo ,sababu movie ikitoka tu mimi ninayo tena napata kwa MBs chache

Kama mpenzi wa series tafuta hizi channel

-HOME SERIES
-TV Series Bot - hapa unapata Series zote za Netflix,Apple , Amazon .....chakufanya baada ya kustart channel weka harufi ya series unayotaka kama A zitakuja series zote zenye A pamoja na hio uliyotafuta.

Utakuja kunishukuru bro.

NOTE: Telegram nadhani ndio social media unaokula mb kuliko wowote ,yaani kama unachannel nyingi video,picha,GIF zina tabia ya kujifungua zenyewe...zinafyonza mb hatari mm mara ya kwanza nikiweka 1GB moja ndani ya dakika 50 nikawa nimetumia 75% ya mb..chakufanya ingia setting ,Data and Storage
 
Zima automatic media download na auto media play
 
Thanks brother..I appreciate that! Nimefanikiwa kupata netnaija..🙏
 
Back
Top Bottom