Top 5 yako ya Romantic Movies

OLD IS GOLG

Ghost_(1990_movie_poster).jpg
30622eb76b76a563efba388f5f8841b2b7c83b7b.jpeg
8b2e008bd6277f154ff0cf69409b4bf2.jpg
 
1. Irreplaceable you
images-3.jpeg

Abbie(gugu mbatha) na Sam hawa walikuwa marafiki toka utotoni baadae waka wapenzi. Abbie alijihisi ana ujauzito lakin mwisho waligungua sio ujauzito bali alikuwa na kansa, sasa Abbie akaanza mchakato wa kumtaftia Sam dem(mwanamke) mwingne wakudate nae pindi yeye atakapo kuwa amefariki.

2.Forevar my girl
249340R1.jpg

3. The notebook
images.jpeg

Allie anapoteza kumbukumbu zake zote Noah anaamua kumsaidia kurecover kumbukumbu zake kwa kumsomea story inayohusu maisha yao ya mapenzi toka siku wanaonana. Mwisho Allie anarudiwa na kumbukumbu zake na anamtambua Noah ni nan (hapo akiwa hospital) mwisho wa siku wanakutwa wakiwa wamefariki wakiwa wamekumbatiana .

4.love, Rosie
images-2.jpeg

Rosie na Alex walikuwa washikaji(marafiki) sana toka utotoni. Tatzo linaanza pale kila mmoja anapoanza kuwa na feelings kwa mwenzie lakin anazuga(anajidai) kama vile rafiki tu mwisho wa siku kila mtu anajikuta anaingia kwenye mahusiano na mtu ambaye sio sahihi.

5. Fault in our stars
172913R1.jpg

Nyongeza:
Me before you
images-1.jpeg

sanam teri kasam
images-4.jpeg

The Light Between Oceans
images-5.jpeg
 
1. Irreplaceable you
View attachment 1999498
Abbie(gugu mbatha) na Sam hawa walikuwa marafiki toka utotoni baadae waka wapenzi. Abbie alijihisi ana ujauzito lakin mwisho waligungua sio ujauzito bali alikuwa na kansa, sasa Abbie akaanza mchakato wa kumtaftia Sam dem(mwanamke) mwingne wakudate nae pindi yeye atakapo kuwa amefariki.

2.Forevar my girlView attachment 1999499

3. The notebookView attachment 1999503
Allie anapoteza kumbukumbu zake zote Noah anaamua kumsaidia kurecover kumbukumbu zake kwa kumsomea story inayohusu maisha yao ya mapenzi toka siku wanaonana. Mwisho Allie anarudiwa na kumbukumbu zake na anamtambua Noah ni nan (hapo akiwa hospital) mwisho wa siku wanakutwa wakiwa wamefariki wakiwa wamekumbatiana .

4.love, RosieView attachment 1999501
Rosie na Alex walikuwa washikaji(marafiki) sana toka utotoni. Tatzo linaanza pale kila mmoja anapoanza kuwa na feelings kwa mwenzie lakin anazuga(anajidai) kama vile rafiki tu mwisho wa siku kila mtu anajikuta anaingia kwenye mahusiano na mtu ambaye sio sahihi.

5. Fault in our starsView attachment 1999500

Nyongeza:
Me before youView attachment 1999502

sanam teri kasamView attachment 1999601
The Light Between OceansView attachment 1999610

Me before you niliiangalia baada ya kumaliza kuiangalia series ya Game of thrones
Nilivutiwa sana na Daenerys Targaryen aka Mother of Dragon
Nikatafuta movie alizocheza nikaipata hii
Ipo vizuri

Ntatafuta Irreplaceable na Love, Rosie
Nimependa muktasari wake
 
Kama unataka za mb rahisi tumia
Netnaija/FZMOVIES mb zake chini ya500 Ila hzo nlizokutajia mwanzo ni pasua kichwa movie Moja inaweza anzia mb700 had 2GB> kabisa..
Mkuu unadownload kwanza hiyo app kwenye play store au inakuaje?
Halaf hiyo inaitwa netninja au ni netnaija?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom