Top 3 ya Ma-DJ wako wakali ni ipi?

Habari za saa wakuu.

Nauliza kwa unyenyekevu kabisa .
Kwa nini mnasema Djs Wa bongo Beatmaching inawashinda ???
Inamaana hawawezi kuset BPM ??
au hawawezi kusoma wave??
au Wave zinadanganya au ??

Sasa ni nini kinachowafanya washindwe ??
Na kwa nini wengine waweze ??
Wakati wote wamesomea ???

Naombeni msaada juu ya hilo.

beatmatching.......
Hakuna aliesema beat-matching ni tatizo kwa DJs wa kibongo! Ila kuna baadhi yao beat-matching ni tatizo ndo wanatumia kuficha huo udhaifu kwa kuscratch! Pia kuna sababu unaweza kuta inachangiwa na controller yenyewe inaweza kua haizoeleki, au kama DJ anaetumia turntable lazima shughuli iwepo sabu turntable kila kitu ni manually mpaka kuset BPM, Cue - point, Key, manual gaining n.k!

Sio hizi mashine za sasahiv unakuta unaload tu nyimbo kwenye software yako ya Serato/Virtual Dj, Recordbox/Djay Pro/Cross DJ /Tractor au Djuced then inaweka auto cue, auto loop, auto gain, auto detect bpm & key, SYNC n.k utaona kila kitu ni automatic tu.. Kutumia turntable ni mziki mwingine kabisa na lazima upige maembe tu hata DJs wachache sana wanaweza tumia hizi turntable hapa nchini labda wale wa zamani kina JD, PQ,BonyLove,John Lyatu, Mafuvu n.k
 
Daah nimetokea kumkubali huyu dj kinomanoma....

Nachofanya siku hizi navizia kuanzia saa 2 usiku kama yeye ameshika usukani lazima nirekodi mpaka asbh.
Unforgetable
Nina na Mamy wako vizuri sana wanapiga ngoma balaa sema kinachowasaidia hawa mamanzi kumaster u DJ kwa urahisi ni kua hawa controller manufacturers mfano Pioneer, Numark, Tractor, Rane, Denon DJ n.k wakishirikiana na manufacturers Dj softwares kama Serato DJ Pro, Recordbox n.k, Pioneer, Numark, wamezisimplify sana hizi tools kwa kuweka mambo mengi yafanywe AUTOMATIC tu na tracks wanazocheza ni zilezile ambazo wana experience nazo, Kuna siku Dj Nina aliingia kumix Hip-hop/Trap bana, saa ngapi zisianze kumchanganya zikawa zinamshinda ku match akawa anapiga maembe tu mpaka Kidylax akaja kushika mashine mwenyewe kuendesha kipindi

Hata wewe ukiamua kujifunza u DJ ni ndani ya mwezi tu unajua basic, tena kama unaujua muziki vizuri yaani una idea na aina za miziki mbali mbali ni week 3 tu unaweza kabidhiwa mashine na kupiga kwenye vi parties.
 
Hakuna aliesema beat-matching ni tatizo kwa DJs wa kibongo! Ila kuna baadhi yao beat-matching ni tatizo ndo wanatumia kuficha huo udhaifu kwa kuscratch! Pia kuna sababu unaweza kuta inachangiwa na controller yenyewe inaweza kua haizoeleki, au kama DJ anaetumia turntable lazima shughuli iwepo sabu turntable kila kitu ni manually mpaka kuset BPM, Cue - point, Key, manual gaining n.k!

Sio hizi mashine za sasahiv unakuta unaload tu nyimbo kwenye software yako ya Serato/Virtual Dj, Recordbox/Djay Pro/Cross DJ /Tractor au Djuced then inaweka auto cue, auto loop, auto gain, auto detect bpm & key, SYNC n.k utaona kila kitu ni automatic tu.. Kutumia turntable ni mziki mwingine kabisa na lazima upige maembe tu hata DJs wachache sana wanaweza tumia hizi turntable hapa nchini labda wale wa zamani kina JD, PQ,BonyLove,John Lyatu n.k
Ongezea na mafuvu
 
sio mfuatiliaj mzuri wa wasafi fm
Wapo huku baadhi tunapiga nao stories huku recorded sessions zao zinapigwa huko kwenye Media.
Screenshot_20210302-001141.jpg
 
Usilolijua ni kama usiku wa giza mkuu! Nachokwambia na uhakika nacho na Dj Delvick nawasiliana nae sana na hata mix yake ikiwa inapigwa redioni akauaga kwenye mishe sehemu nyingine tu... Naweza kupa ushahidi wa chats zetu texts za kawaida au telegram.. Huyu Dj Lucky mwenyewe zile mixes zake za olds school zinazopigwa kila jpili huwa anakua off tu na tunachat nae sana huko WhatsApp kwenye group la Tanzania Djs! Ni mara chache sana wanapiga live vipindi vya usiku, Ingia Audiomack utapata mix zake Delvick na za Lucky baadhi zile unazoskia redioni kuanzia Amapiano na HipHop mpaka zina drops zilezile za Wasafi..
okay a got u
 
Habari za saa wakuu.

Nauliza kwa unyenyekevu kabisa .
Kwa nini mnasema Djs Wa bongo Beatmaching inawashinda ???
Inamaana hawawezi kuset BPM ??
au hawawezi kusoma wave??
au Wave zinadanganya au ??

Sasa ni nini kinachowafanya washindwe ??
Na kwa nini wengine waweze ??
Wakati wote wamesomea ???

Naombeni msaada juu ya hilo.

beatmatching.......
Mkuu unaweza sync vizuri wave zikakaa fresh ila pale kwenye kumatch zile wave kunwashinda wengi sana high BPM to low au low to high sio mchezo
Namba zinaweza match ila kuzipandisha kukakushinda kwahiyo anatumia tu drop scratch

BPM sio mchezo
 
Nina na Mamy wako vizuri sana wanapiga ngoma balaa sema kinachowasaidia hawa mamanzi kumaster u DJ kwa urahisi ni kua hawa controller manufacturers mfano Pioneer, Numark, Tractor, Rane, Denon DJ n.k wakishirikiana na manufacturers Dj softwares kama Serato DJ Pro, Recordbox n.k, Pioneer, Numark, wamezisimplify sana hizi tools kwa kuweka mambo mengi yafanywe AUTOMATIC tu na tracks wanazocheza ni zilezile ambazo wana experience nazo, Kuna siku Dj Nina aliingia kumix Hip-hop/Trap bana, saa ngapi zisianze kumchanganya zikawa zinamshinda ku match akawa anapiga maembe tu mpaka Kidylax akaja kushika mashine mwenyewe kuendesha kipindi

Hata wewe ukiamua kujifunza u DJ ni ndani ya mwezi tu unajua basic, tena kama unaujua muziki vizuri yaani una idea na aina za miziki mbali mbali ni week 3 tu unaweza kabidhiwa mashine na kupiga kwenye vi parties.
Dj kidylax anatishaaa
 
Mi ningependa nijue! Kwa mfano kwenye mashindano ya u-dj ni vigezo gani vinatumika kumchagua best dj, au wewe kama wew ni vigezo gan unatumia kumchagua best dj?
 
Mkuu unaweza sync vizuri wave zikakaa fresh ila pale kwenye kumatch zile wave kunwashinda wengi sana high BPM to low au low to high sio mchezo
Namba zinaweza match ila kuzipandisha kukakushinda kwahiyo anatumia tu drop scratch

BPM sio mchezo
Majizo ana icho kipindi kila jumamosi naona dj mafuta peke yake ndio anakimudu
 
Back
Top Bottom