Top 10 Bongo Flava for 2012

Top 10 Bongo Flava for 2012

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,118
1. Aifola - Linex
2. Dear God - Kala Jeremiah
3. Me & You - Ommy Dimpoz ft Vanessa
4. Mapito - Mwasiti ft Ally Nipishe
5. Nashukuru umerudi - Recho
6. Leka dutigite - Kigoma All Stars
7. Ameen - Mwana FA
8. Sihitaji Marafiki - Fid Q
9. 2030 - Roma
10. Mawazo - Diamond

Hizi ni za kwangu, za kwako ni zipi?
 
Kwa Duniani top 5 zangu hizi

1. Oliver Twist
2. Don't wake me up
3. Azonto
4. Shine bright like diamond
5. Alingo
 
1. Single Boy - Ally Kiba
2.-Nai nai - Ommy Dimpoz
 
Hizi nyimbo na mimi mbali mbali kabisa weniulize wakina PITBULL,BRUNO MARS,DAVID GUETTA,KESHA ETC....
 
Kwa Duniani top 5 zangu hizi

1. Oliver Twist
2. Don't wake me up
3. Azonto
4. Shine bright like diamond
5. Alingo

Hiyo na 3 video yake hata km kuna nnachofanya naacha ili nitizame. Nzuri sana
 
Hizi nyimbo na mimi mbali mbali kabisa weniulize wakina PITBULL,BRUNO MARS,DAVID GUETTA,KESHA ETC....

haswa kama mie msanii wangu wa kiume bora kwa mwaka jana ni FLO RIDA...
 

Attachments

  • flo-rida-at-the-itv-studios-london_4099443_001.jpg
    flo-rida-at-the-itv-studios-london_4099443_001.jpg
    35.6 KB · Views: 56

Similar Discussions

Back
Top Bottom