Wasanii walioshinda Tuzo za Tanzania Music Awards 2023

Alejandroz

JF-Expert Member
Feb 14, 2017
327
376
Wasanii walioshinda Tuzo za Tanzania Music Awards 2023

1. Msanii bora wa kiume: Harmonize

2. Msanii bora wa kike: Zuchu

3. Msanii bora wa Hip-hop: Bilnass

4. Msanii bora wa Hip-hop: Rosa Ree

5. Collabo bora ya mwaka: Nitongoze by Rayvanny ft Diamond

6. Wimbo bora Bongofleva: Kwikwi by Zuchu

7. Msanii bora chipukizi: Kontawa

8. Wimbo bora wa mwaka : Nakupenda by Jay Melody

9. Video bora ya mwaka: Mwambieni by Zuchu

10. Mwanamuziki bora wa kike chaguo la watu kidigitali: Zuchu

11. Msanii bora wa kiume Bongofleva: Mbosso

12. Msanii bora wa kiume chaguo la Watu : Diamond Platnumz

13. Msanii bora wa kiume wa Singeli : Dulla Makabila

14. Msanii bora wa kike wa Singeli: Mimah

15. Mtumbuiziaji bora wa kiume: Sholo Mwamba

16. Mtumbuizaji bora wa kike: Phina

17. Mwimbaji bora wa kiume Taarab: Hassan Doko

18. Mnyumbulikaji (Dance) bora wa kike: Angel Nyigu

19. Msanii bora wa kiume Raggae Dancehall: Badest

20. Msanii bora wa kike Reggae Dancehall: Dipper Rato

21. Mwanamuziki bora wa kiume vionjo vya asili: Awilo Kidume Cha Mbeya

22. Mwanamuziki bora wa kike vionjo vya asili: Elizabeth Malinganya

23. DJ bora wa kike: DJ Mamie

24. Producer bora : S2Kizzy

25. Tuzo ya heshima: Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete.

---

tanzania-music-awards-2023.jpg
Wafahamu Washindi Wa Tuzo Za Music Awards 2023
Wafuatao ni washindi wa Tuzo za muziki Tanzania (TMA) zilizoandaliwa na Basata usiku wa kumakia leo Aprili 30, 2023 katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki, Dar.

1. WIMBO BORA WA FLEVA

Upo Nyonyo – Phina
Tamu – Barnaba
Dunia – Harmonize
Kwikwi – Zuchu
Dear Ex – Marioo

2. MWANAMUZIKI BORA WA KIUME BONGO FLAVA
Amelowa – Harmonize
Huyu hapa – Mbosso
Do Do – Dully Sykes
Naogopa – Marioo ft. Harmonize
Asali – Ali Kiba

3. MWANAMUZIKI BORA WA KIKE BONGO FLEVA
Sitaki Mazoea – Shilole
Siwezi – Nandy
Kwikwi – Zuchu
Tai Chi – Ruby
Nishazoea – Malkia Karen

4. MWANAMUZIKI BORA WA KIUME HIP HOP
Kumbuka –Kala Jeremiah
Puuh – Billnass ft. Jaymelody
One Call Away – Country Wizzy
Tawile – Fid Q ft. Rich Mavoko
Tanzanite – Joh Makini ft. Jay Rox

5. MWANAMUZIKI BORA WA KIKE HIP HOP
Witirialdo – Witness Kibonge Mwepesi
Bibi Titi Vol. 1 – Trixy Tonic
Hapa – Ge2
New Material – Chemical
Blue Print – Rosa Ree

6. WIMBO BORA WA HIP HOP
Blue Print – Rosa Ree

New Material – Chemical
Tanzanite – Joh Makini
Mbabe – Trixy Tonic
Kumbuka – Kala Jeremiah

7. ALBUMU BORA YA MWAKA
The Kid You Know – Marioo
Made For Us – Harmonize
Love Sounds Different – Barnaba
Street Ties – Conboi Cannabino
Romantic EP – Kusah

8. MWANAMUZIKI BORA WA KIUME
Ali Kiba
Rayvanny
Harmonize
Marioo
Dulla Makabila

9. MWANAMUZIKI BORA WA KIKE

Zuchu

Nandy

Trixy Tronix

Chemical

10. WIMBO BORA WA MWAKA
Pita Huku – Dulla Makabila
Nitaubeba – Harmonize
Nakupenda – Jay Melody
Kwikwi – Zuchu
Mwamba – Rayvanny

11. VIDEO BORA YA MWAKA
Mwambieni – Zuchu

Pita Huku – Dulla Makabila

Te Quiero – Rayvanny
Deka – Harmonize
Dear Ex – Marioo

13. PRODUCER BORA WA MUSIC

S2kizzy
Abbah Process
Nusder
Mesen Selekta
Kassumpa Machati

14. NYIMBO BORA YA KUSHIRIKIANA

Sayuni – Barnaba Classic ft Joel Lwaga
Champion – Kontawa ft. Harmonize
Naogopa – Marioo ft Harmonize
Demu Wangu – Meja Kunta ft Mabantu
Nitongoze – Rayvanny ft. Diamond Platnumz

15.
Dj Ally B ametwaa tuzo ya DJ bora wa mwaka wa kiume
16. Dullah Makabila ameshinda tuzo mbili ya msanii bora wa kiume wa Singeli na nyimbo bora ya singeli
 
Duh
Hakuna kichekesho walichofanya hao BASATA

katika kipengele cha msanii bora wa Afrika magharibi.walikuwa ni
1.Rema
2.Burnaboy
3.Ayra star
4. kiss daniel

Eti akapewa kiss daniel kwa kigezo kipi?

Burnaboy ni Giant na anahit songs zaidi ya 4 mwaka jana. Ayra star ndo hagusiki pamoja na Rema

NILIZIMA TV NIKALALA BONGO NYOSSO
 
mkuu hata kizz Daniel alikua ana mwaka Bora Sana 2022 alitoa naye hits song bado ukichukuaa hits za kizz Daniel huwez fanansha na za huyo ayra Starr unayesema alihit
 
Duh
Hakuna kichekesho walichofanya hao BASATA

katika kipengele cha msanii bora wa Afrika magharibi.walikuwa ni
1.Rema
2.Burnaboy
3.Ayra star
4. kiss daniel

Eti akapewa kiss daniel kwa kigezo kipi?

Burnaboy ni Giant na anahit songs zaidi ya 4 mwaka jana. Ayra star ndo hagusiki pamoja na Rema

NILIZIMA TV NIKALALA BONGO NYOSSO
Rema na Burna nani bora?
 
Inakuaje uwe msanii Bora wa kiume ikiwa huna hata wimbo wowote wako ulioshinda Tuzo Hili linanishangaza mno kiufupi hizi Tuzo ni takataka sijapata kuona
 
Wasanii walioshinda Tuzo za Tanzania Music Awards 2023

1. Msanii bora wa kiume: Harmonize

2. Msanii bora wa kike: Zuchu

3. Msanii bora wa Hip-hop: Bilnass

4. Msanii bora wa Hip-hop: Rosa Ree

5. Collabo bora ya mwaka: Nitongoze by Rayvanny ft Diamond

6. Wimbo bora Bongofleva: Kwikwi by Zuchu

7. Msanii bora chipukizi: Kontawa

8. Wimbo bora wa mwaka : Nakupenda by Jay Melody

9. Video bora ya mwaka: Mwambieni by Zuchu

10. Mwanamuziki bora wa kike chaguo la watu kidigitali: Zuchu

11. Msanii bora wa kiume Bongofleva: Mbosso

12. Msanii bora wa kiume chaguo la Watu : Diamond Platnumz

13. Msanii bora wa kiume wa Singeli : Dulla Makabila

14. Msanii bora wa kike wa Singeli: Mimah

15. Mtumbuiziaji bora wa kiume: Sholo Mwamba

16. Mtumbuizaji bora wa kike: Phina

17. Mwimbaji bora wa kiume Taarab: Hassan Doko

18. Mnyumbulikaji (Dance) bora wa kike: Angel Nyigu

19. Msanii bora wa kiume Raggae Dancehall: Badest

20. Msanii bora wa kike Reggae Dancehall: Dipper Rato

21. Mwanamuziki bora wa kiume vionjo vya asili: Awilo Kidume Cha Mbeya

22. Mwanamuziki bora wa kike vionjo vya asili: Elizabeth Malinganya

23. DJ bora wa kike: DJ Mamie

24. Producer bora : S2Kizzy

25. Tuzo ya heshima: Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete.
Koote naona mauza uza.
Lakini Kikwete anastahili zaidi ya Tuzo ya heshima.

Anaitendea haki sanaa na utamaduni anafaa kuwa mlezi wa sanaa ya Tanzania.

Makandokando yake mengine hayahusiki hapa
 
yaani naona kabisa wimbo wa naogopa ya marioo&harmonize ndo ulipaswa kuwa kolabo bora ya mwaka.....

Na hili swala la harmonize kuwa msanii bora wa kiume ni sawa....ila mbona sasa katika nyimbo zake asichukue tuza hata moja kivipi
Naogopa na nitongoze ipi imehit Sana?
 
Tuzo za kishkaji hizi. Wanatumia vigezo gani kupima ubora wa wimbo ama msanii husika, kwa kupigiwa kura ama kupeana kiurafiki!
 
yaani naona kabisa wimbo wa naogopa ya marioo&harmonize ndo ulipaswa kuwa kolabo bora ya mwaka.....

Na hili swala la harmonize kuwa msanii bora wa kiume ni sawa....ila mbona sasa katika nyimbo zake asichukue tuza hata moja kivipi
Watu wamepiga kura sio wao wamepanga nyie jamaa vipi hamfuatilii alafu mnamwaga lawama, ni kura zimepigwa na watu muwe mnafuatilia kabla ya kulaumu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom