Hizi hapa ngoma 20 kali za Bongo Flava kutoka 2013-23

Forgotten

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,346
10,220
Miaka 10 iliyopita ndiyo tulipata ladha halisi ya muziki wa Bongo Flava, zipo nyimbo nyingi sana kali zilizotoka ila hizi 20 naamini zilifanya vizuri kwa wakati wake kwa kuzingatia uandishi & midundo.

Hii list haipo kwa mpangilio, ngoma zote 20 zinaweza kuwa namba 1.

Darassa - Muziki (feat. Ben Pol)

Diamond Platnumz - Number One

AY - Zigo [Remix] (feat. Diamond Platnumz)

Alikiba - Seduce Me

Diamond Platnumz - Kamwambie

Lady Jaydee - NdiNdiNdi

Christian Bella - Nani Kama Mama

Marioo - Yale

Tommy Flavour - Omukwano (feat. Alikiba)

Linex - Salima (feat. Diamond Platnumz)

Barakah The Prince - Nisamehe (feat. Alikiba)

Alikiba - Utu

Jux - Utaniua

Harmonize - Mama

Ommy Dimpoz - Me and You (feat. Vanessa Mdee)

Nikki wa Pili - Kanifuata (feat. Jux)

Mwana FA - Yalaiti (feat. Linah)

Mr. Blue - Mboga Saba (feat. Alikiba)

Alikiba - Mwana

Diamond Platnumz - Kesho

Kwasasa muziki wetu umebadikika sana kuanzia uandishi mpaka midundo ila bado kuna wasanii wanajitahidi kubaki kwenye muziki wetu: Alikiba, Marioo, Mbosso n.k.
 
Saafi. Mtoa mada ume list vyuma tupu, nilichokipenda zaidi umeweka songs ambazo zingine hazikupata promo kiviile lkn zilikua kali sana mfano omukwano (tommy), kanifuata (nikki), yale (marioo).
 
Hizo nyimbo zote bado hazijafikia ladha ya ngoma zilizoanzia 2003-2010'acha kabisa.kipindi hicho juma nature ndio kama mondi wa sasa, Crew zilikua zinashindana kutoa ngoma mpk msikilizaji anafrahi.kipindi hicho hakuna singeli wala wabana pua.
 
Bila
-Kamiligado(Professor Jay) rudi nyuma mwaka mmoja basi iwekwe.
-Happy birthday (Harmo)

Hamna
 
Baada ya kwangaru ya Harmonize kukosekana, basi list hiyo ni fake isipokuwa ngoma ya Darasa - muziki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom