Toka mahakamani: Nyeti zatoweka!

Toka mahakamani: Nyeti zatoweka!

Tutajie viongozi uliokuwa unawasaidia kuturoga na kutuchota akili tuwapigie kura maana kamanda Sirro kasema tumpelekee majina ya waharifu awachukulie hatua.
Siwezi kufanya ujinga huo hata siku moja
 
Maombi yangu huyu shehe atusaidie kulinda kura zetu 2025 "tumkate nyoka kichwa".
 
Kuna Imani za kishetani zipo mbele ya macho yetu kabisa,lakini wanaoamini wamefunikwa na wingu zito hawaoni.watakuja kupinga kubisha na kutukana
 
Siwezi kufanya ujinga huo hata siku moja
Kama uliweza kuroga na unakana ushirikina wako kwa sasa, unashindwa nini kututajia hao viongozi uliokuwa unawasaidia kuroga? Kama utashindwa ambia watu basi ni pm mimi.
 
Kama uliweza kuroga na unakana ushirikina wako kwa sasa, unashindwa nini kututajia hao viongozi uliokuwa unawasaidia kuroga? Kama utashindwa ambia watu basi ni pm mimi.
Nadhani silazimiki kufanya kitu kwa matakwa ya wengine
 
Back
Top Bottom