Toka mahakamani: Nyeti zatoweka!

Toka mahakamani: Nyeti zatoweka!

Mshtakiwa Faraji Ramadhani mwenye umri wa miaka 27 ameiomba Mahakama imruhusu ajidhamini mwenyewe kutokana na sehemu zake za siri kutoweka hivyo kupata maumivu makali anapokuwa Mahabusu.
_
"Hakimu nilikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Mtoto wa Shekhe, Ustadhi huyo alinionya sana kuachana na Binti yake lakini sikusikia ndio chanzo cha sehemu zangu za siri kupotea, nikiwa nyumbani natumia dawa za miti shamha kutuliza maumivu"
_
Kutokana na malalamiko hayo Hakimu Manase aliamuru mtuhumiwa huyo aliyefikishwa Mahakamani hapo kwa kosa la wizi wa Kompyuta akaguliwe na baada ya askari kumkagua ilibainika anachokisema ni kweli.
_
Hata hivyo Hakimu Diana Manase wa Mahakama hiyo ya Mwanzo Jijini Mbeya aligoma kumruhusu kujidhamini kwa madai akitoroka hawezi kujua wapi kwa kumpata na kumtaka avumilie kwakuwa tatizo kalitafuta mwenyewe maana shekhe alimuonya aachane na Binti yake akakaidi, Kesi imeahirishwa hadi September 27 mwaka huu.
#MillardAyoMAHAKAMANI
Isije ikawa huyo Sheikh anazitumia yeye hizo nyeti!
 
Jamaa alibaka akaswekwa lupango huku nje ndugu zake wakapambana kwenye sayansi giza, wakampata mtaalam wa kuzipoteza nyeti siku ya kesi
Siku ilipofika jamaa akajitetea kuwa hana nyeti, na ikathibitishwa pasipo shaka mbele ya mahakama kuwa ni kweli... Jamaa akashinda kesi na kuachiwa huru! Yeye na ndugu zake wakatoka mahakamani kwa tambo na furaha kubwa. .. Wakarudi nyumbani na kufanya sherehe kubwa... Ni katikati ya sherehe ndio wakapokea habari mbaya sana.. Yule mtaalam aliyetowesha nyeti alikufa kifo cha ghafla kabla hawajamrudia ili azirudishe
pilau limeingia mchana 😂😂😂🤣
 
Mh. Mshana Jr kwa uchawi wote uliokuwa nao, hivi huwezi kweli kumuombea huyu jamaa apate kupona na kutoka jela ili akamalize kazi yake kwa mtoto wa sheikh?
 
Mimi sio mchawi tena nimeshaachana na hayo mambo sifanyi ushirikina tena
Mkuu; Juzi kati hapa (wakati kesi ndogo ndani ya kesi Kubwa ya Ugaidi inaendelea) ulichelewa kupata habari kwa kuwa ulikuwa kilingeni. Thatha kilingeni ulienda kufanya nini tena huko aithee? 🤣🏃‍♂️
 
Mkuu; Juzi kati hapa (wakati kesi ndogo ndani ya kesi Kubwa ya Ugaidi inaendelea) ulichelewa kupata habari kwa kuwa ulikuwa kilingeni. Thatha kilingeni ulienda kufanya nini tena huko aithee? [emoji1787][emoji2089]
Kilingeni bado ardhi ipo naitafutia mteja.. Sasa kuna changamoto mbili tatu zinahitaji uwepo wangu..sikwenda kuroga
 
Naomba mawasiliano ya huyo sheikh Coz kuna barobaro mmoja hapa mtaani nahisi anapita na demu wangu
 
Haya mambo haya
HABARI: Katika hali ya kustaajabisha, mfanyabiashara wa duka la simu mkoani Katavi Issa Kasili, amemfumania rafiki yake ambaye ni mfanyabiashara wa zao la mpunga katika Halmashauri ya Mpimbwe, Wilaya ya Mlele mkoani humo, Mayombi Mwela akiwa chumbani akichepuka na mke wake.

Katika video inayosambaa mitandaoni inamwonyesha Issa Kasili akimlaumu rafiki yake huyo kwa kuzini na mkewe....

"Umeni *****... mke wangu Mayombi? Umeni *****... mke wangu Mayombi? Mwishowe umetimiza ahadi yako?

Akimdhibiti mkewe, Kasili amesema amezaa naye mtoto mmoja hivyo kuanzia sasa hataki ndoa naye tena ambapo mara baada ya kumfumania alimpiga faini ya shilingi milioni 5 rafiki yake huyo.
 
Mimi sio mchawi tena nimeshaachana na hayo mambo sifanyi ushirikina tena
Hivi ulikuwa unafaidika na nini haswa? Kwa kuwa umesha achana na uchawi, hivi unaweza kututajia baadhi ya viongozi uliokuwa unawasaidia serikalini?
 
Jamaa alibaka akaswekwa lupango huku nje ndugu zake wakapambana kwenye sayansi giza, wakampata mtaalam wa kuzipoteza nyeti siku ya kesi
Siku ilipofika jamaa akajitetea kuwa hana nyeti, na ikathibitishwa pasipo shaka mbele ya mahakama kuwa ni kweli... Jamaa akashinda kesi na kuachiwa huru! Yeye na ndugu zake wakatoka mahakamani kwa tambo na furaha kubwa. .. Wakarudi nyumbani na kufanya sherehe kubwa... Ni katikati ya sherehe ndio wakapokea habari mbaya sana.. Yule mtaalam aliyetowesha nyeti alikufa kifo cha ghafla kabla hawajamrudia ili azirudishe
Mganga alikuwa anaitwa Shogholo.
 
Huyo nae mjinga,ningekuwa ningekana kuwa sikufanya,kwanza nyeti zenyewe sina
 
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hivi ulikuwa unafaidika na nini haswa? Kwa kuwa umesha achana na uchawi, hivi unaweza kututajia baadhi ya viongozi uliokuwa unawasaidia serikalini?
Kila kitu kina faida na hasara zake
 
Huyo nae mjinga,ningekuwa ningekana kuwa sikufanya,kwanza nyeti zenyewe sina
Hebu soma tena hapa

Hakimu nilikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Mtoto wa Shekhe, Ustadhi huyo alinionya sana kuachana na Binti yake lakini sikusikia ndio chanzo cha sehemu zangu za siri kupotea, nikiwa nyumbani natumia dawa za miti shamha kutuliza maumivu"
 
Mshtakiwa Faraji Ramadhani mwenye umri wa miaka 27 ameiomba Mahakama imruhusu ajidhamini mwenyewe kutokana na sehemu zake za siri kutoweka hivyo kupata maumivu makali anapokuwa Mahabusu.
_
"Hakimu nilikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Mtoto wa Shekhe, Ustadhi huyo alinionya sana kuachana na Binti yake lakini sikusikia ndio chanzo cha sehemu zangu za siri kupotea, nikiwa nyumbani natumia dawa za miti shamha kutuliza maumivu"
_
Kutokana na malalamiko hayo Hakimu Manase aliamuru mtuhumiwa huyo aliyefikishwa Mahakamani hapo kwa kosa la wizi wa Kompyuta akaguliwe na baada ya askari kumkagua ilibainika anachokisema ni kweli.
_
Hata hivyo Hakimu Diana Manase wa Mahakama hiyo ya Mwanzo Jijini Mbeya aligoma kumruhusu kujidhamini kwa madai akitoroka hawezi kujua wapi kwa kumpata na kumtaka avumilie kwakuwa tatizo kalitafuta mwenyewe maana shekhe alimuonya aachane na Binti yake akakaidi, Kesi imeahirishwa hadi September 27 mwaka huu.
#MillardAyoMAHAKAMANI
Nikiuliza: inamaana hakojoi nitakuwa nimetukana labda, au niulize: atakuwa haendi haja ndogo?

Sababu za kisayansi viungo kama figo na ini kufeli usipokojoa zinajulikana wazi, sasa vipi kwa huyo kibaka hawez kupata madhara hayo kwa kuwa tu kastopishwa kichawi?
 
Hili lipo kishirikina zaidi
 
Back
Top Bottom