Toka mahakamani: Nyeti zatoweka!

Toka mahakamani: Nyeti zatoweka!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,991
Reaction score
831,558
Mshtakiwa Faraji Ramadhani mwenye umri wa miaka 27 ameiomba Mahakama imruhusu ajidhamini mwenyewe kutokana na sehemu zake za siri kutoweka hivyo kupata maumivu makali anapokuwa Mahabusu.
_
"Hakimu nilikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Mtoto wa Shekhe, Ustadhi huyo alinionya sana kuachana na Binti yake lakini sikusikia ndio chanzo cha sehemu zangu za siri kupotea, nikiwa nyumbani natumia dawa za miti shamha kutuliza maumivu"
_
Kutokana na malalamiko hayo Hakimu Manase aliamuru mtuhumiwa huyo aliyefikishwa Mahakamani hapo kwa kosa la wizi wa Kompyuta akaguliwe na baada ya askari kumkagua ilibainika anachokisema ni kweli.
_
Hata hivyo Hakimu Diana Manase wa Mahakama hiyo ya Mwanzo Jijini Mbeya aligoma kumruhusu kujidhamini kwa madai akitoroka hawezi kujua wapi kwa kumpata na kumtaka avumilie kwakuwa tatizo kalitafuta mwenyewe maana shekhe alimuonya aachane na Binti yake akakaidi, Kesi imeahirishwa hadi September 27 mwaka huu.
#MillardAyoMAHAKAMANI
 
Mh! Akina maalim mwamba hao.
Hakimu naye kaogopa
Hata hivyo Hakimu Diana Manase wa Mahakama hiyo ya Mwanzo Jijini Mbeya aligoma kumruhusu kujidhamini kwa madai akitoroka hawezi kujua wapi kwa kumpata na kumtaka avumilie kwakuwa tatizo kalitafuta mwenyewe maana shekhe alimuonya aachane na Binti yake akakaidi, Kesi imeahirishwa hadi September 27 mwaka huu.
#MillardAyoMAHAKAMANI
 
Hiyo njia inafaa sana ktk kupambana na wabakaji.
inabidi sheki asaidie jamii ktk kupambana na wimbi la ubakaji maana kunyofoa nyeti itakuwa mwarobaini, naamini kama njia hii itatumika itaondoa kabisa tatizo la ubakaji.
 
Jamaa alibaka akaswekwa lupango huku nje ndugu zake wakapambana kwenye sayansi giza, wakampata mtaalam wa kuzipoteza nyeti siku ya kesi
Siku ilipofika jamaa akajitetea kuwa hana nyeti, na ikathibitishwa pasipo shaka mbele ya mahakama kuwa ni kweli... Jamaa akashinda kesi na kuachiwa huru! Yeye na ndugu zake wakatoka mahakamani kwa tambo na furaha kubwa. .. Wakarudi nyumbani na kufanya sherehe kubwa... Ni katikati ya sherehe ndio wakapokea habari mbaya sana.. Yule mtaalam aliyetowesha nyeti alikufa kifo cha ghafla kabla hawajamrudia ili azirudishe
 
😁😁😁😁😁😁
 
huyu mtaalamu aliye gundua hii sayansi anafaa sana kuisaidia jamii ktk kudhibiti vitendo vya ubakaji.
tunaomba atunzwe
 
niliwahi kutana na kesi mtwara nikiwa naenda tembea mpakani mwa msumbiji - kalambo

jamaa alionywa asitembee na mke wa mtuu, kijana hakusikia akaendeleaaa.....mwenye mke akazungusha madawa/mbuyuniii weeee jamaa mshipa wa ngiri ukatunaaa, alikuwa akipiga mayoweeeee, wazeee wa jadi wakaenda kumwagua

Pia rufiji wanasema nako usiguse mke wa mtuuu hutoamini yatakayokupataa ---kwa vijana wa kiume wageni huwa wanaambiwa wafanye importation from other regions
 
Mshtakiwa Faraji Ramadhani mwenye umri wa miaka 27 ameiomba Mahakama imruhusu ajidhamini mwenyewe kutokana na sehemu zake za siri kutoweka hivyo kupata maumivu makali anapokuwa Mahabusu.
_
"Hakimu nilikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Mtoto wa Shekhe, Ustadhi huyo alinionya sana kuachana na Binti yake lakini sikusikia ndio chanzo cha sehemu zangu za siri kupotea, nikiwa nyumbani natumia dawa za miti shamha kutuliza maumivu"
_
Kutokana na malalamiko hayo Hakimu Manase aliamuru mtuhumiwa huyo aliyefikishwa Mahakamani hapo kwa kosa la wizi wa Kompyuta akaguliwe na baada ya askari kumkagua ilibainika anachokisema ni kweli.
_
Hata hivyo Hakimu Diana Manase wa Mahakama hiyo ya Mwanzo Jijini Mbeya aligoma kumruhusu kujidhamini kwa madai akitoroka hawezi kujua wapi kwa kumpata na kumtaka avumilie kwakuwa tatizo kalitafuta mwenyewe maana shekhe alimuonya aachane na Binti yake akakaidi, Kesi imeahirishwa hadi September 27 mwaka huu.
#MillardAyoMAHAKAMANI
Nipatie namba ya huyo sheikh tafadhali...
 
Back
Top Bottom