Amos Buseme
Member
- Jul 26, 2020
- 9
- 8
KweliWatanzania wamechoka kuendelea kusikiliza kauli chafu zitokazo kwa baadhi ya Wagombea wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020. Tunaonba serikali ifanye kazi yake. Hatuwezi kuvumilia lugha chafu zinazoashiria uvunjifu wa Amani.