HabariNdugu wana JamiiForums,
Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.
Karibuni sana.
MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.
Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.
Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Rais Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Rais Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati. Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli...www.jamiiforums.com
Ukisha fichua ww inakusaidia nn?,maana watu hawafanyi hayo kwa kupenda bali kutokana na ugumu wa maishaTufuchue vijiwe vya wavuta bangi ktk maeneo/mitaa yetu,
Madanguro, pombe haramu nk
vp msokoto mmoja una bei gani saiv mkuuUkisha fichua ww inakusaidia nn?,maana watu hawafanyi hayo kwa kupenda bali kutokana na ugumu wa maisha
Njia ya Msata-Bagamoyo sehemu gani exactly mkuu!? Pia ukiweza hata utuwekee namba za hiyo gari hapa. Ahsante sana.
Ajira ni kero na inauma zaidi kuona wageni wengi wakifanya kazi bila vibali vya kazi wanachukua nafasi zetu pia serikali haipati kodiHabari
kumekuwa na changamoto sana kwenye soko la ajira vijana wengi sana wapo mtaani na wanasiasa wamenukuliwa mala kadhaa waki waambia vijana wajiajiri. Laba ushauri wao ni bora lakini leo nita ongelea kwa upande mwingine
Kwa research fupi nilio fanya vijana wengi ambao wamemaliza masomo wamekuwa waki hangaika sana kwenya swala la ajira ambayo ni changamoto kubwa sana ambayo sioni serikali kama ina lifanyia ufumbuzi ukifatilia
Tasisi nyingi za serikali zikitaka kuajiri ni kupitia utumishi na kumekuwa na wingi wa vijana inapo tokea kazi kutangazwa ila taasisi nyingi zina intern sasa namba nizungumzie kuhusu hawa vijana wanao jitolea kwenye mashirika ya serikali
Vijana wengin wanao jitolea wanapata faida ya uzoefu kazini ila wamekuwa wanafanya kazi na kuwa faida sana kwenye baadhi ya taasisi ila kwann vijana hawa hawapati ajira za moja kwa moja wamekuwa wakipew ahadi kadha wa kadha kipi kinacho kwamisha vijana hawa kuajiliwa kuna taasisi ambazo zina intern wengi unakuta kitengo kizima asilimia kubwa kina endeshwa na vijana wanao jitolea je serikali bado aijaona manufaa ya vijana hao au ni kipi hasa kina kwamisha kuawapa ajira ya kudumu maana wamekuwa ni chachu ya mafanikio ya taasisi nyingi mfano TTCL,NSSF,WCF nk
Leo nimeona niongelee ilo kuna siku nitakuja kuongelea kazi wanazo fanyishwa vijana hawa
Kabisa maisha magum watu Wana mawazoUkisha fichua ww inakusaidia nn?,maana watu hawafanyi hayo kwa kupenda bali kutokana na ugumu wa maisha
Ifike pahala tuseme basi tupige shortcut kama south africaAjira ni kero na inauma zaidi kuona wageni wengi wakifanya kazi bila vibali vya kazi wanachukua nafasi zetu pia serikali haipati kodi
Mwenye nchi Kesha sepa, kama ukipata chansi, piga,Ingieni Tanga halmashauri wahusika,kashangaeni madudu yanayotendeka
Hii nchi niya wananchiMwenye nchi Kesha sepa, kama ukipata chansi, piga,
kwa nini usisafishe wewe mtumiaji? Huna ubwana mkubwa wowote.Muda wa kuanza huduma hospitali au vituo vya afya vya umma ni tatizo. Usafi unafanywa kuanzia saa 2. Wodini ndo usiseme, kunanunuka, majibu yanasikitisha!