Jipu uchungu nimeliona hospitali ya Mwananyamala kitengo cha maabara watu wanaanza kupewa huduma saa tano. Na wakati wafanyakazi wanafika ofisini saa moja wao ni stori tu na kuacha wagonjwa wanaendelea kuzidiwa....
Mtu amepima toka jana lakini kumpa tu majibu yake asubiri hadi saa tano ndo waanze kutoa majibu....wao na stori tu ofisini
Barabara ya Makongo - Ardhi University imekua kero kubwa.Hii ni ring-road but ujenzi umeishia upande cha Goba. Magari yanayopita hii barabara ni mengi, more than 70,000 per day. Tunaomba TANROAD wajitahidi, wamalize ujenzi wa barabara hii. Kwa kweli imekua ni kero kubwa kwa watumiaji na wakazi wa barabara hii.Kuna wafanyakazi wa TANROADS wanakuwa na gari Hardbody Ya Tanroads nyeupe inasimama njia ya Msata - Bagamoyo mida ya usiku, wanakula rushwa kwa kila fuso za mizigo zinazopita njia ile.
Kwa siku wafanyakazi hao huenda nyumbani na sh3m.
Tuanze na jipu hilo kwanza maana huo mchezo ulikuwepo tangu yeye akiwa waziri wa ujenzi.
utaifakwanza
Mbwa koko ni CCM hilo liko wazi, miaka 55 ya uhuru nchi ipo taabani kiuchumi utadhani ndo tumepata uhuru janaNingepewa Urais hata kwa siku 10 tu, ningehakikisha kwanza MBWA KOKO wote wanachagua moja kati ya mambo mawili:- Ama kuacha kejeli, matusi na dharau au kutafuta Nchi ya kuishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wasiojulikana ni CCM mbona unapata taabu kuwajua?Jambo la Msingi: Naomba kama una taarifa kuhusu mtu usomuelewa mtaani kwako mtolee taarifa huenda akawa ni mtu asiyejulikana...
Watu wasiojulikana wanalimaliza Taifa na wanatia hofu Raia. Kila Raia ana haki ya kuishi bila khofu. Haikupaswa kuwa hivi
Tanzania ya miaka hii inaogopesha...
Tahadhari katika Reply. "MIMI SI MWANA SIASA" nimeonelea nina Haki ya kuppst linalonikera nalo ni hilo tu!
na aanze kufanya uhakiki upya wa watumishi hewa. Maana kupandisha mishahara ameshindwaArudishe ule Ukali wake Na kufoka foka wa 2015-2016
AjiuzuluZimesalia siku 30 kabla ya maadhimisho ya mei mosi 2019, Je, Mheshimiwa Rais ambaye ndiye mgeni Rasmi wa Maadhimisho, unapendekeza atatue kero IPI ili kuifanya mei mosi 2019 ya kipekee na yenye maana kwa watumishi wa umma kuelekea uchumi wa viwanda?. Toa maoni yako na wahusika watamfikishia. Mimi kwa upande wangu nashauri amuagize CAG kukagua payroll za Taasisi za umma ili kubainisha Viwango vya mishahara kama vinaendana na elimu, ujuzi, uzoefu wa kazi na majukumu dhidi ya mishahara yao na kama wenye vyeo Fulani wanavistahili au LA, tukianza na maafisa Elimu nchi nzima, aafisa kilimo, wakurugenzi na wakuu was wilaya, makatibu tawala n.k na uwajibikaji wao ukilinganisha na maslahi manono wayapatayo