RUSHWA MAHAKAMA YA MWANZO SINZA
wakazi wa Sinza waliofungua mirathi kwenye mahakama hii wanazungushwa njoo leo njoo kesho bila kujua hatma ya mirathi yao iliyofunguliwa tangu 2016,2017 na 2018.
Mhasibu wa mahakama anaomba rushwa waziwazi ili kuprocess majalada ya mirathi, Anaomba nauli, hela ya maziwa eti majalada yana vumbi.
Tunaomba huyu mhasibu mdada afanyiwe Special Audit ili ijulikane kama ameghushi na kuiba mirathi ya watu! Haiwezekani miaka 3 watu wanasubili mirathi ili hali wamekamilisha taratibu zote.
CC: Jaji mkuu
CC: Jaji Kiongozi
CC:Waziri wa sheria na katiba
CC: RC Dar es salaam
CC: DC Ubungo