Tofauti ya Hayati Magufuli na Rais Samia

1. Hayati alipenda CCM kuliko Tanzania. Mama anapenda Tanzania kuliko Chama chake

2. Hayati aliogopo yeyote ambaye akubaliani naye. Mama alishazoea siasa za makubaliano kule Zanzibar hivyo haogopi wapinzani

3. Hayati aliwaogopa upinzani kuliko uwezo wao. Mama anajua nguvu ya upinzani inaishia wapi hivyo haogopi mfano wakishida viti 40 Mama anajua bado ni idadi ndogo lakini Hayati yeye alikuwa anaogopa hata mmoja ! Mama anatumia common sense sio hisia.

4. Mama ana upeo mpana zaidi wa mambo kwasababu ya kufanya UN na kuona Dunia kwa upana wake. Hayati alikuwa na ushamba wa kutokujua mengi huu ndiyo ukweli

5. Hayati aliweka misimamo mbele kuliko ukweli mfano kwenye Corona mpaka imechangia kumuondoa alibishia mpaka viongozi wa dini wakati ushahidi uko wazi Waziri Mpango na Katibu wake walipata Corona lakini bado alikuwa anajidanganya na kujiaminisha kiuongo.

6. Hayati alijiamini yeye pekee na Mama anaamini taasisi imara
Hayati umaarufu ulikuwa unamfuata, Mama anaufuata umaarufu!
 
Huu sio ushindanishi bali tu ni tofauti hivyo lengo sio kushindanisha Hayati na Mama bali kueleza tofauti zao na maono yao.
Kwahiyo nilichoandika sio utofauti? Kama ni hivyo, basi wewe utakuwa BONGE LA GENIUS!!!!
 
Wewe Kamundu wewe,nakuona unawachokoza ''Sukuma Gang'' shauri yako usije sema sikukuambia wakija hapa!
 
1. Hayati alipenda CCM kuliko Tanzania. Mama anapenda Tanzania kuliko Chama chake

2. Hayati aliogopo yeyote ambaye akubaliani naye. Mama alishazoea siasa za makubaliano kule Zanzibar hivyo haogopi wapinzani

3. Hayati aliwaogopa upinzani kuliko uwezo wao. Mama anajua nguvu ya upinzani inaishia wapi hivyo haogopi mfano wakishida viti 40 Mama anajua bado ni idadi ndogo lakini Hayati yeye alikuwa anaogopa hata mmoja ! Mama anatumia common sense sio hisia.

4. Mama ana upeo mpana zaidi wa mambo kwasababu ya kufanya UN na kuona Dunia kwa upana wake. Hayati alikuwa na ushamba wa kutokujua mengi huu ndiyo ukweli

5. Hayati aliweka misimamo mbele kuliko ukweli mfano kwenye Corona mpaka imechangia kumuondoa alibishia mpaka viongozi wa dini wakati ushahidi uko wazi Waziri Mpango na Katibu wake walipata Corona lakini bado alikuwa anajidanganya na kujiaminisha kiuongo.

6. Hayati alijiamini yeye pekee na Mama anaamini taasisi imara
Safi Sana, naongeza moja
7. Hayati alikuwa mwongo na mtu wa kupika takwimu, Mama anaongea ukweli na uhalisia
 
Ni kweli, maana inaonyesha "tibaina amagezi" mtu aliye timamu huwezi kutwa kucha kumsema mtu ambaye hawezi kusia, kuona, kunusa wala kujibu huo ushuzi. Ni sawa na kupiga mgumi kwenye jiwe, what next for....
Kabisaaah yaaan
 
Kufanya maamuzi:

Jiwe Mkurupukaji -- Maza anatumia hekima
Jiwe alikiwa na hofu feki ya Mungu -- Maza ana hofu ya Mungu kweli
Mungu wa Jiwe hakuwa Mungu halisi....ndiyo maana yule halisi akaonyesha makali yake baada ya kuona anadhihakiwa...tatizo lipo kwa wachungaji , maaskofu , manabii wetu walikuwa ni wanafiki sana
 
1. Hayati alipenda CCM kuliko Tanzania. Mama anapenda Tanzania kuliko Chama chake

2. Hayati aliogopo yeyote ambaye akubaliani naye. Mama alishazoea siasa za makubaliano kule Zanzibar hivyo haogopi wapinzani

3. Hayati aliwaogopa upinzani kuliko uwezo wao. Mama anajua nguvu ya upinzani inaishia wapi hivyo haogopi mfano wakishida viti 40 Mama anajua bado ni idadi ndogo lakini Hayati yeye alikuwa anaogopa hata mmoja ! Mama anatumia common sense sio hisia.

4. Mama ana upeo mpana zaidi wa mambo kwasababu ya kufanya UN na kuona Dunia kwa upana wake. Hayati alikuwa na ushamba wa kutokujua mengi huu ndiyo ukweli

5. Hayati aliweka misimamo mbele kuliko ukweli mfano kwenye Corona mpaka imechangia kumuondoa alibishia mpaka viongozi wa dini wakati ushahidi uko wazi Waziri Mpango na Katibu wake walipata Corona lakini bado alikuwa anajidanganya na kujiaminisha kiuongo.

6. Hayati alijiamini yeye pekee na Mama anaamini taasisi imara
No sense na mada isiyikua na tija Nyambafuuuuuuuuuuuu
 
Mmebaki kulinganisha mama na JPM uongozi wake utafifia siyo muda mrefu huyu alie toa haya mawazo ni Nape kazi alizo fanya JPM niza kimkakati hapa tulipo h hiyo dodoma tungekua bado tuna iota ukisema jpm alikua mshamba humtendei haki kenya mpaka leo wako lockdown sie tunasepa nani mshamba kenya wana madeni ya IMF aka corona sie hatuna.. Wivu wakijinga huu kama hukumpenda jpm usitulazimishe tumchukie.. Jpm ataingia kwenye historia hata mama anavyo ongoza akili za watu bado ziko kwa jpm walio mzunguka mama ni wezi tu subiri haitapita muda tutaanza sikia kashfa kama za escrow epa. Mgufuli will remain to be jembe
MAJINGA KAMA HAYA BADO YAPO.....HII NCHI ILIKUWA KIFUNGONI KWA MIAKA YOTE YA MWENDAZAKE.....SASA NCHI INAKWENDA KUFUNGULIWA...MATAGA /SUKUMA GANG ZAMU YENU SASA KUISOMA NAMBA
 
1. Hayati alipenda CCM kuliko Tanzania. Mama anapenda Tanzania kuliko Chama chake

2. Hayati aliogopa yeyote ambaye akubaliani naye. Mama alishazoea siasa za makubaliano kule Zanzibar hivyo haogopi wapinzani

3. Hayati aliwaogopa upinzani kuliko uwezo wao. Mama anajua nguvu ya upinzani inaishia wapi hivyo haogopi mfano wakishida viti 40 Mama anajua bado ni idadi ndogo lakini Hayati yeye alikuwa anaogopa hata mmoja ! Mama anatumia common sense sio hisia.

4. Mama ana upeo mpana zaidi wa mambo kwasababu ya kufanya UN na kuona Dunia kwa upana wake. Hayati alikuwa na ushamba wa kutokujua mengi huu ndiyo ukweli

5. Hayati aliweka misimamo mbele kuliko ukweli mfano kwenye Corona mpaka imechangia kumuondoa alibishia mpaka viongozi wa dini wakati ushahidi uko wazi Waziri Mpango na Katibu wake walipata Corona lakini bado alikuwa anajidanganya na kujiaminisha kiuongo.

6. Hayati alijiamini yeye pekee na Mama anaamini taasisi imara
Huu ndio ukweli mchungu ambao waliokuwa wakimuabudu Hayati hawapendi kuusikia...
Tarajia mvua ya mate na mijitusi...!!!
Ukweli ni kama mafuta kwenye maji
 
Mwendazake alikuwa ni mtu wa ajabu kuliko ata amaajabu yenyewe eti kwenye awamu yake vichwa kadhaa vya train vikaokotwa bandarini daaaah ila Magu was so fantastic asee unaokota kichwa cha train!!!!!
Waliokota hata mapesa kwenye akaunti za watu!!!
 
Kuhamia Dodoma imetusaidia nini kama nchi?

Sababu zile za mwaka 47 hazina mashiko tena
Ni wale wale akili zilizo lala kama hazina mshiko kwanini ilikua kwenyemipango ya kuhamia tangu miaka ya nyuma...kama haikusaidii funga mdomo wako EPA au Escrow ilikusaidia nini...
 
Mwendazake alikuwa ni mtu wa ajabu kuliko ata amaajabu yenyewe eti kwenye awamu yake vichwa kadhaa vya train vikaokotwa bandarini daaaah ila Magu was so fantastic asee unaokota kichwa cha train!!!!!
Pia na vile vigari vidogo fogo zaidi ya 50 navyo viliokotwa bandarini.
 
#1 umeongea mauongo makubwa sana shenzi kabisa.

Na kuna Comment za watu humu za dharau, JPM muiteni kwa heshima HAYATI DR. J P M na siyo mwendazake kama dharau fulani hivi

Wengi wanaoingiza kumdharau HAYATI JPM ni wale wa vyeti feki,wapiga dili na wengineo waliozoea ushenzi wa dhuruma kwa wananchi wa chini hasa hawa wafanya biashara wakwepa kodi

HAYATI JPM mtakuja kumkumbuka sana na MUNGU atutunze tutawakumbusha siku moja
Tutamkumbuka kwa mabaya/maovu, acha ujuha wa kivuli cha vyeti feki. Henchmen wake wengi ndiyo walikuwa wamiliki wa vyeti feki na aliwalinda kwa nguvu zote, kama bichwa lako halina kumbukumbu nikukumbushe mfano hai ni Bashite.
Mwendazake/mwanakwenda lilikuwa ni jidubwana katili lisiloeleweka kama ni binadamu au ni jishetani lililojileta ku terrorize umma wa Watanzania, wewe endelea kulinda kaburi manake kuna watu bado wana hasira wanaweza kulifukua ili waliue tena labda itawapunguzia machungu yao kwa madhila waliyopitia wakati wa utawala wa nduli huyo.
 
Mtamkumbuka sana Jiwe huko tuendako,ni swala la muda tu.
Nchi ishawekwa rehani hiyo.
 
Mwendazake alikua hovyo sana...aende zake tu
Tusifikie huku Watanzania, hata kama hakuwa chaguo lako basi heshimu uzee wake kama cheo chake hukupenda. Tusiwe na desturi ya kukejeli viongozi wetu.
Kwa niaba yake, familia yake, wasukuma wenzake, watz wenzake, wakristo wenzake, waislamu wenzake NAOMBA NIMUOMBEE MSAMAHA kama Binadamu hakosi mapungufu yoyote. NAOMBA MATUSI YAKE YOTE MNIHAMISHIE MIMI. MSAMEHENI MAREHEMU, PAMOJA NA MADHAIFU LKN PIA AMEFANYA MENGI MAZURI NASI KWA UMOJA WETU TUYACHUKUE HAYO NA TUENDELEE NAYO NA HAYO MABAYA TUMESHAYAACHA.
NAOMBA MSAMAHA KWAKE.
 
Back
Top Bottom