Tofauti ya Hayati Magufuli na Rais Samia

Tofauti ya Hayati Magufuli na Rais Samia

#1 umeongea mauongo makubwa sana shenzi kabisa.

Na kuna Comment za watu humu za dharau, JPM muiteni kwa heshima HAYATI DR. J P M na siyo mwendazake kama dharau fulani hivi

Wengi wanaoingiza kumdharau HAYATI JPM ni wale wa vyeti feki,wapiga dili na wengineo waliozoea ushenzi wa dhuruma kwa wananchi wa chini hasa hawa wafanya biashara wakwepa kodi

HAYATI JPM mtakuja kumkumbuka sana na MUNGU atutunze tutawakumbusha siku moja
 
Mwendazake! Mzee Mchonga! Bwana Haambiliki!
 
#1 umeongea mauongo makubwa sana shenzi kabisa.

Na kuna Comment za watu humu za dharau, JPM muiteni kwa heshima HAYATI DR. J P M na siyo mwendazake kama dharau fulani hivi

Wengi wanaoingiza kumdharau HAYATI JPM ni wale wa vyeti feki,wapiga dili na wengineo waliozoea ushenzi wa dhuruma kwa wananchi wa chini hasa hawa wafanya biashara wakwepa kodi

HAYATI JPM mtakuja kumkumbuka sana na MUNGU atutunze tutawakumbusha siku moja
Hizo nyimbo zimepitwa na wakati.
 
uzuri katika hili watakaokuwa wa kwanza kupiga ukunga ni UFIPA hawa hawa.

kuweni na subira.
 
Nilisema suala la mahindi ni vita ya kiuchumi baadhi yenu hamkuelewa. Nilisema madai ya Wakenya kwamba mahindi yetu yana sumu kuvu (mycotoxins) ni batili kwa sababu tumewalisha kwa miaka 60 na hawakuona sumu iweje waone leo? Nikashauri tusipanic bali tukae ili tusolve kidiplomasia sio kibabe. Lakini MATAGA wakajaa mapovu na kusema hata tusipouza Kenya tutauza Rwanda na Burundi.

Nikacheka sana. Rwanda na Burundi wanaingiza tani 45K za mahindi kwa mwaka. Lakini Kenya inaingiza tani 400K. Maana yake ni kwamba mahindi ambayo tungewauzia Kenya kwa mwaka mmoja, tutawauzia Rwanda na Burundi kwa miaka 10. Sasa hii ni biashara au utopolo?

Ni kweli tumebarikiwa ardhi nzuri kwa mazao ya chakula lakini hii 'arrogancy' ya kuamini fulani akisusa tutauzia wengine, ndio imetugharimu. Zaidi ya miezi miwili wafanyabiashara wa mahindi hawajui wapeleke wapi mahindi yao baada Kenya kuzira. Serikali ya mwendazake iliyowaambia watauza popote, haikuwatafutia soko mbadala. So sad.!

Na hiki ndicho kilichotokea pia kwenye mbaazi. Wakati Manji ananunua mbaazi TZS 3,000/= kwa kilo serikali ikaanza kumsumbua. Watu wakasema Manji akisumbuliwa mbaazi zitakosa soko. Serikali ikajibu kwa kiburi kwamba asiponunua wao watanunua.

Lakini Manji alipoacha kununua mbaazi zilipoteza soko hadi 150/= kwa kilo kutoka 3,000/=. Serikali ileile iliyodai itanunua ikawaambia watu wale mbaazi kwa wingi maana zinaongeza protini. Hivi mtu ana gunia 200 anakulaje zote? Non sense.!

Kwenye mahindi tulikua tunaelekea hukohuko. Tulijisifu tutauzia Rwanda, Burundi, Somalia na Sudani lakini zaidi ya miezi miwili sasa tumeshindwa kuuza hata hapo Kibaha maili moja. Porojo za MATAGA kwamba wakenya wananunua mahindi kwetu halafu wanayauza Sudani, mbona sisi tumeshindwa kuuza huko Sudani?

Wenye akili walishauri tukae mezani tuyajenge. Vita ya kiuchumi "husoviwa" kidiplomasia sio kijeshi. Lakini mwendazake akagoma. Alishika nyundo na kuamini kila tatizo ni msumari, kwahiyo akawa anagonga tu.

Mama amefanya kile ambacho wenye akili walimshauri mwendazake lakini akawaita vibaraka. Mama amekaa na Uhuru wamezungumza yameisha. Leo Rais Uhuru karuhusu mahindi kutoka TZ yaendelee kuingia Kenya. Hakuna cha "mycotoxins" wala nini. Hii ni habari njema kwa wafanyabiashara wa mahindi pale Kibaigwa, hadi wakulima wa kule Peramiho.

Pia ni habari njema kwa taifa kwa sababu Kenya wametusafisha. Dunia imegundua kumbe mahindi yetu hayakua na sumu (mycotoxins) kama Wakenya walivyodai bali ilikua vita vya kiuchumi tu.

Wakenya wakiendelea kununua mahindi yetu hata nchi nyingine zitanunua kwa sababu sasa zimejiridhisha kwamba mahindi yetu hayana sumu. Aliyetoa tuhuma ndiye huyohuyo amesema yaingizwe nchini kwake waendelee kuyala. Yangekua na sumu asingeruhusu yaingizwe.

Hii ndio nguvu ya diplomasia. Mnakaa mezani kuzungumza halafu mshindani wako anajimaliza mwenyewe. Tulitumia nguvu nyingi kujisafisha kimataifa kwamba mahindi yetu hayana sumu lakini hakuna aliyetuamini. Leo mama kakaa na Uhuru masaa machache tu, kisha akampa kamba ajimalize mwenyewe. Uhuru akatusafisha, sasa tumeng'aa. Tunaweza kuuza mahindi yetu hata Marekani [emoji1].

Uhuru na Mama Samia wameruhusu pia mtu akishapimwa Covid upande mmoja akaonekana ni negative, basi akiingia upande wa pili asipimwe tena. Unakumbuka Wakenya walianza figisu. Madereva wetu wa malori, walipopimwa wakawa negative, walipoingia Kenya walipimwa tena na kukutwa positive. Ikaleta taharuki.

Mwendazake akaona dawa ni kuapply jino kwa jino. Madereva wao walipokuja na vyeti vya negative tukawapima tena na wakawa positive. Yani ushindani wa kitoto kabisa.

Watu wakashauri Bwana Kabudi akae mezani na mwenzake wa Kenya wayazungumze. Lakini akakodoa macho kwa tashwishwi na kusema hatutishwi na mataifa yanayotumiwa na mabeberu.

Leo mama na Uhuru wameamua kumaliza hizo drama za kitoto. Hakuna haja ya kuishi kwa kuviziana wakati sisi ni ndugu. Wamekubaliana dereva akipimwa TZ akiingia Kenya asipimwe tena, na akipimwa Kenya akiingia TZ asipimwe tena. Hii ndio maana ya ujirani mwema. Kuishi kwa kuaminiana bila speculations.

Asante mama Samia, Asante Uhuru. Demokrasia imekutana na demokrasia.!

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
kwahiyo hayana sumu kuanzia sasa!!!

tukisema mama hajui anachokifanya mnapiga yowe.
sisi wengine wacha tukae kimya,tutakuwa tunawakumbusha hizi shangwe zenu tu.
 
1. Hayati alipenda CCM kuliko Tanzania. Mama anapenda Tanzania kuliko Chama chake

2. Hayati aliogopo yeyote ambaye akubaliani naye. Mama alishazoea siasa za makubaliano kule Zanzibar hivyo haogopi wapinzani

3. Hayati aliwaogopa upinzani kuliko uwezo wao. Mama anajua nguvu ya upinzani inaishia wapi hivyo haogopi mfano wakishida viti 40 Mama anajua bado ni idadi ndogo lakini Hayati yeye alikuwa anaogopa hata mmoja ! Mama anatumia common sense sio hisia.

4. Mama ana upeo mpana zaidi wa mambo kwasababu ya kufanya UN na kuona Dunia kwa upana wake. Hayati alikuwa na ushamba wa kutokujua mengi huu ndiyo ukweli

5. Hayati aliweka misimamo mbele kuliko ukweli mfano kwenye Corona mpaka imechangia kumuondoa alibishia mpaka viongozi wa dini wakati ushahidi uko wazi waziri mipango na katibu wake walipata Corona lakini bado alikuwa anajidanganya na kujiaminisha kiuongo.

6. Hayati alijiamini yeye pekee na Mama anaamini taasisi imara
Nduli alikuwa kituko mbele ya uso wa dunia!
 
Hayati alipenda sana kusifiwa
 
kwahiyo hayana sumu kuanzia sasa!!!

tukisema mama hajui anachokifanya mnapiga yowe.
sisi wengine wacha tukae kimya,tutakuwa tunawakumbusha hizi shangwe zenu tu.
Hivi huyu mama amekukosea nini mtu ndio ana siku 56 tuu ikulu? Au una kitu kimejificha moyoni mwako kinachokufanya umchukie wewe mkorintoo?
 
Hivi huyu mama amekukosea nini mtu ndio ana siku 56 tuu ikulu? Au una kitu kimejificha moyoni mwako kinachokufanya umchukie wewe mkorintoo?
nimchukie rais mimi mfuasi wa magufuli na wasaidizi wake!!!

mimi nashangaa tu mama kakutwa na jambo gani!!,
 
usiwe munafiki mama hajafanya kitu chochote hacheni kuwa wanafiki mama hajafanya chochote mupaka mudaaa huu kazi kuzulula tuuh anafuata oda za JK .... THINK Big usiwe unafuata mkumbo angalia mambo kwa jicho la tatu utaona mengi Its just a matter of time.... mama hana maajabu acha kumusifia kinafiki ndungu yangu ....

Umetoa ukelele wa uchungu sana
 
Back
Top Bottom