Tofauti ya Hayati Magufuli na Rais Samia

Alishafariki muacheni apumuzike mwisho wa siku yeye ataitwa Hayati na kazikwa na wengi ne wewe utaishia kuitwa marehemu unaweza tupwa kaburini tu baada ya masaa mawili watu wakakusahau lakini yeye atakumbukwa either kwa mabaya yake au mazuri yake milele yeye ataingia kwenye vitabu vya kumbukumbu ya Tanzania wewe jina lako litabaki tu juu ya jiwe la kaburi lako so funga mdomo chapa kazi kumuongelea Hayati haisaidii
 
Tusifikie huku Watanzania, hata kama hakuwa chaguo lako basi heshimu uzee wake kama cheo chake hukupenda. Tusiwe na desturi ya kukejeli viongozi wetu.
Kwa niaba yake, familia yake, wasukuma wenzake, watz wenzake, wakristo wenzake, waislamu wenzake NAOMBA NIMUOMBEE MSAMAHA kama Binadamu hakosi mapungufu yoyote. NAOMBA MATUSI YAKE YOTE MNIHAMISHIE MIMI. MSAMEHENI MAREHEMU, PAMOJA NA MADHAIFU LKN PIA AMEFANYA MENGI MAZURI NASI KWA UMOJA WETU TUYACHUKUE HAYO NA TUENDELEE NAYO NA HAYO MABAYA TUMESHAYAACHA.
NAOMBA MSAMAHA KWAKE.
Huyo unaemuombea msamaha ndo huyo hapa amelalia jiwe hapo kwenye profile yako mkuu?.
 
1. Hayati alipenda CCM kuliko Tanzania. Mama anapenda Tanzania kuliko Chama chake

2. Hayati aliogopo yeyote ambaye akubaliani naye. Mama alishazoea siasa za makubaliano kule Zanzibar hivyo haogopi wapinzani

3. Hayati aliwaogopa upinzani kuliko uwezo wao. Mama anajua nguvu ya upinzani inaishia wapi hivyo haogopi mfano wakishida viti 40 Mama anajua bado ni idadi ndogo lakini Hayati yeye alikuwa anaogopa hata mmoja ! Mama anatumia common sense sio hisia.

4. Mama ana upeo mpana zaidi wa mambo kwasababu ya kufanya UN na kuona Dunia kwa upana wake. Hayati alikuwa na ushamba wa kutokujua mengi huu ndiyo ukweli

5. Hayati aliweka misimamo mbele kuliko ukweli mfano kwenye Corona mpaka imechangia kumuondoa alibishia mpaka viongozi wa dini wakati ushahidi uko wazi Waziri Mpango na Katibu wake walipata Corona lakini bado alikuwa anajidanganya na kujiaminisha kiuongo.

6. Hayati alijiamini yeye pekee na Mama anaamini taasisi imara

354506.jpg
 
Vipi mkuu uko safi kabisa Swahiba?
 
Endereaaa kulipa tozo na kodi ya jengo..subir kodi ya kuandika humu jf.
 
Serikali yeyeto iliyopo madarakani pasipo ridhaa ya wananchi huwa ni serikali haramu
 
5. Hayati aliweka misimamo mbele kuliko ukweli mfano kwenye Corona mpaka imechangia kumuondoa alibishia mpaka viongozi wa dini wakati ushahidi uko wazi Waziri Mpango na Katibu wake walipata Corona lakini bado alikuwa anajidanganya na kujiaminisha kiuongo.
Jamaa alikuwa Pharao kabisa yule, corona kiboko 🤣
 
1. Hayati alipenda CCM kuliko Tanzania. Mama anapenda Tanzania kuliko Chama chake

2. Hayati aliogopo yeyote ambaye akubaliani naye. Mama alishazoea siasa za makubaliano kule Zanzibar hivyo haogopi wapinzani

3. Hayati aliwaogopa upinzani kuliko uwezo wao. Mama anajua nguvu ya upinzani inaishia wapi hivyo haogopi mfano wakishida viti 40 Mama anajua bado ni idadi ndogo lakini Hayati yeye alikuwa anaogopa hata mmoja ! Mama anatumia common sense sio hisia.

4. Mama ana upeo mpana zaidi wa mambo kwasababu ya kufanya UN na kuona Dunia kwa upana wake. Hayati alikuwa na ushamba wa kutokujua mengi huu ndiyo ukweli

5. Hayati aliweka misimamo mbele kuliko ukweli mfano kwenye Corona mpaka imechangia kumuondoa alibishia mpaka viongozi wa dini wakati ushahidi uko wazi Waziri Mpango na Katibu wake walipata Corona lakini bado alikuwa anajidanganya na kujiaminisha kiuongo.

6. Hayati alijiamini yeye pekee na Mama anaamini taasisi imara
😆😆
 
Back
Top Bottom