Tofauti kati ya Celebrity na Superstar.

Bongemzito

Senior Member
Nov 5, 2010
162
19
Habari za jioni wanajamii forum,ivi tofauti kati ya Celebrity na Superstar ni ipi? na kipi ni kigezo cha kumpa mtu ucelebrity au Usuperstar!..
Na ni kweli bongo kuna hao watu (Celebrity na Superstar ) na hawa wasanii wetu tumezoea kuwaita masuperstar mara celebrity.........ivi hawa wanafaaa kweli kuwaita ivyo wajamen..
 

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,411
3,190
Mkuu hoja hii nimekuwa nikiisikia mara kwa mara sehemu nyingi.
Kuhusu kama ma supa staa na macele wapo bongo, mi na nadhani wapo kutokana na level yetu. Cele wa SA si sawa na wa USA, hii inategemea jamii husika.
Sina hakika sana ila nijuavyo mimi unaweza kuwa cele na usiwe supa staa, ila masupa staa wote ni macele.
Supa staa ni wanamichezo actors musician kwa ufupi walio ktk nyanja ya burudani
cele ni watu wanaokubalika zaidi katika jamii, napata tabu kidogo kueleza hili mfano Usa mke wa obama,mtoto wa clinton ni macele kutokana na mvuto wao kwa jamii.
Jaribu juperuzi fobes na list ya marichest cele utapata mwanga
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom