Tofauti Kati ya Max Nzengeli na Okrah Magic hizi hapa

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,199
12,715
Baada ya okrah Magic kuonesha kiwango Bora Katika mchezo wa Yanga vs Polisi kombe la shirikisho, Kuna wachambuzi wameibuka na kuanza kumuombea namba Okrah mbele ya Max Nzengeli.

Hizi ndiyo tofauti kubwa Kati ya Max Nzengeli na Okra Magic.

(1) Max Nzengeli anacheza nafasi zaidi ya tatu anapokua uwanjani.
Anacheza namba 8,6,11,7 na 10 hii ni tofauti kabisa na Okra Magic ambaye anacheza winga ya kushoto na kulia tu Ina maana anacheza namba 7,11 ni mzuri zaidi winga ya kushoto.

(2) Max Nzengeli anauwezo mkubwa wa kukaba tofauti na Okra Magic timu inapokua haina mpira max huwa anarudi pande zote za uwanja kutafuta mpira na kukaba wakati Okra mpira ukipotea siyo miabaji Kama Max.

Kosa kosa za magoli kwa Max Nzengeli asishushwe ubora wake awapo uwanjani

Maoni Yangu: Max Nzengeli ni Bora kuliko okra the Magic.

1708531425197.jpg
 
Iwapo Kocha hatochanga karata zake vyema, akaingia mkenge kushawishika kupanga kikosi kupitia performance ya jana naona akienda kufeli.

Kuna wachezaji kupitia mechi ya jana wanaweza kwenda kuigharimu timu siku ya jumamosi.

Yani kama mchezaji wenu hakuwahi kuonesha Quality ya kuridhisha kwenye mechi tough, then muanze kum-rate na kumpimanisha mchezaji huyo na mwengine kupitia performance ya jana dhidi ya timu ya Championship basi hamtapata kipimo sahihi.
 
Kocha ataenda na mfumo wake ule ule wa siku zote, mabadiliko yatakuwa ni upande wa kule mbele kati ya Musonda, Mzize na Guede
 
Hapana, Max atakupa ufanisi kwa namba 8, 10 na kukaba. Max kucheza 7, 11 hatoi ufanisi wowote
Okra anao uwezo wa kucheza 7,11 kwa ufanisi ila si mzuri katika ukabaji.

Max anauwezo wa kucheza eneo finyu lililo banwa na wapinzani kwa kua ana flexibility na mobility, Okra ana uwezo mzuri wa kucheza kwenye eneo kubwa kwakua ana spidi kubwa kwaiyo inategemea na aina ya mpinzani anavyo cheza.
 
KWA MAELEZO HAYO BADO MAX NI BORA KULIKO OKRA
 
Baada ya okrah Magic kuonesha kiwango Bora Katika mchezo wa Yanga vs Polisi kombe la shirikisho, Kuna wachambuzi wameibuka na kuanza kumuombea namba Okrah mbele ya Max Nzengeli.

Hizi ndiyo tofauti kubwa Kati ya Max Nzengeli na Okra Magic.

(1) Max Nzengeli anacheza nafasi zaidi ya tatu anapokua uwanjani.
Anacheza namba 8,6,11,7 na 10 hii ni tofauti kabisa na Okra Magic ambaye anacheza winga ya kushoto na kulia tu Ina maana anacheza namba 7,11 ni mzuri zaidi winga ya kushoto.

(2) Max Nzengeli anauwezo mkubwa wa kukaba tofauti na Okra Magic timu inapokua haina mpira max huwa anarudi pande zote za uwanja kutafuta mpira na kukaba wakati Okra mpira ukipotea siyo miabaji Kama Max.

Kosa kosa za magoli kwa Max Nzengeli asishushwe ubora wake awapo uwanjani

Maoni Yangu: Max Nzengeli ni Bora kuliko okra the Magic.

View attachment 2911230
Hizo tofauti za hao uliowataja zinatusaidia nini watanzania katika kushuka kwa Bei ya Sukari au tatizo la kukatika kwa Umeme??na by the way hao ni wanaume wana mboo,muda wa kuwashobokea sijui tofauti ya Nzengeli na Okra unauotoa wapi??hizo ni dalili za KICHOKO
 
NGOJA NINYAMAZE
 
@Moderator Active Action and Reaction MNASUBIRI NIMJIBU NA MIMI MNIPE BAN?!

KOSA LANGU LIPO WAPI KUJA KUNITUKANA.
 
Hizo tofauti za hao uliowataja zinatusaidia nini watanzania katika kushuka kwa Bei ya Sukari au tatizo la kukatika kwa Umeme??na by the way hao ni wanaume wana mboo,muda wa kuwashobokea sijui tofauti ya Nzengeli na Okra unauotoa wapi??hizo ni dalili za KICHOKO
Duuuh ugumu wa maisha au nini?
Mbona unajibu kihasira hivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom