Kuna tofauti kati ya matunzo na kujiuza

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Mar 25, 2020
4,417
9,806
Mwanamke anaestahili matunzo ya mwanaume ni mke. Mke akiwa mama wa nyumbani hapa mwanaume anawajibika kubeba jukumu lote la ustawi wa kiuchumi kwenye familia, mke akiwa anafanya kazi/biashara siku hizi wanajiita wapambanaji au super women basi super woman huyu nae anawajibika kuleta kitu mezani.

Mwanamke ambae anataka matunzo wakati hajaolewa huyu ni kahaba anaejiuza, ni pesa anayoitaka ndio inabadilishwa jina. Anaejiuza direct barabarani, kumbi za starehe au mtandaoni pesa anayopewa inaitwa bei na anaeuza indirect kupitia mahusiano ya kimapenzi pesa inaitwa matunzo(ingawa haistahili kuitwa ivyo). Kimsingi wanawake wote wawili hawa wanajiuza wametofautiana mbinu tu.

Anaepewa huduma za matunzo ni mke. Hakuna mwanaume mwenye jukumu la kumtunza girlfriend, kahaba au mdangaji. Dada angu kabla ya kujipa haki ya kunufaika kipesa au kutunzwa na mwanaume akikisha una cheti cha ndoa.

Rais wa UWABATA
 
nilikuwaga na fikra kama zako lkini nilibadilika. kama unataka exclusivity kutoka kwa mwanamke gharamika kama huwezi achana nao kwa muda mpka uzipate.. Utaghafirika bure mwisho wa siku unakuja kuwaita dada za watu makahaba. anapigwa na jua kama ww na ana mahitaji kama ww vilevile.
 
Kwaiyo njia pekee ya mwanamke kupata hayo mahitaji ni kujiuza tu? Hakuna njia nyingine mfano kufanya kazi au biashara?
 
Mwanamke anaestahili matunzo ya mwanaume ni mke. Mke akiwa mama wa nyumbani hapa mwanaume anawajibika kubeba jukumu lote la ustawi wa kiuchumi kwenye familia, mke akiwa anafanya kazi/biashara siku hizi wanajiita wapambanaji au super women basi super woman huyu nae anawajibika kuleta kitu mezani.

Mwanamke ambae anataka matunzo wakati hajaolewa huyu ni kahaba anaejiuza, ni pesa anayoitaka ndio inabadilishwa jina. Anaejiuza direct barabarani, kumbi za starehe au mtandaoni pesa anayopewa inaitwa bei na anaeuza indirect kupitia mahusiano ya kimapenzi pesa inaitwa matunzo(ingawa haistahili kuitwa ivyo). Kimsingi wanawake wote wawili hawa wanajiuza wametofautiana mbinu tu.

Anaepewa huduma za matunzo ni mke. Hakuna mwanaume mwenye jukumu la kumtunza girlfriend, kahaba au mdangaji. Dada angu kabla ya kujipa haki ya kunufaika kipesa au kutunzwa na mwanaume akikisha una cheti cha ndoa.

Rais wa UWABATA
Aisee haya mambo hayapo Bongo tu hadi ulaya na Marekani yapo. Tafuta hela na hudumia kama hauwezi kutoa matumizi usijidanganye kuwa mwanamke atakusikiliza
 
Mitano tena Mh. Rais..

Mwanaume una takiwa upambane kumridhisha huyo demu. na bado umtunze, na hapo kila baada ya game lazima ulipie tena... Full of sh**t.😡😡🤬🤬.

kama vipi ikiwa matunzo kwa demu wa kitaa ni lazima, basi hata wakat wa sex huna haja ya kumridhisha . Tako tatu tu.. pasua yai la mbuni
 
Back
Top Bottom