hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,799
Hakikisha haudodi
Habari zenu wana MMU.kwa mara ya kwanza nawashirikisha ktk siku hii muhimu kwangu;siku ya kuzaliwa kwangu ambayo mimi kadoda11 niliwasiri Duniani.Ilikuwa ni alasiri ya alhamisi,tarehe 19 mwezi wa 12, miaka kadhaa iliyopita pale Muhimbili Hospital-DSM.
mbalapala acha tu ndg. yangu,nimejisikia faraja sana kwa kupokea birthday greetings & wishes toka kwa wana MMU na wanajf kwa ujumla.HBD.Vip Jf walikupongeza maana mie kidogo nilikuwa busy nakulitumikia taifa hamadi nakutana na sms ya kunipongeza kutoka kwao.Ha ha haaaa ikabidi nami nimkumbushe mama Yangu maana nae alikuwa keshasahau.
View attachment 127639 when i was 4/5 yrs old in mid 80s