Today is my Birthday

Today is my Birthday

A-Cool-Happy-Birthday-Wish-HD-Wallpaper1.jpg
 
I hope sijachelewa. Lakini bora kuchelewa kuliko kukosa kabisa.
HAPPY BIRTHDAY kadoda11 na mbalapala. Mungu akupeni maisha marefu yenye baraka tele.
 
Last edited by a moderator:
wow! Ablessed asante kwa kadi yenye ujumbe mzuri. Maamuma ulichelewa jana ila leo umewahi.nakufungashia kipande kidogo cha cake iliyobaki jana.pitia hapa MMU uichukue.
 
Last edited by a moderator:
wow! Ablessed asante kwa kadi yenye ujumbe mzuri. Maamuma ulichelewa jana ila leo umewahi.nakufungashia kipande kidogo cha cake iliyobaki jana.pitia hapa MMU uichukue.
Hahahahahahaha yaani pamoja na kujitahidi kukupatia kadi bado simo kwenye kipande cha keki haya mkuu.
 
shukrani vaikojoel . mgeni10 nimekupata mkuu. Ablessed nilikubakishia kipande cha cake ila kaja farkhina kabeba na kutokomea nacho.next yr nitakufichia.
Naona unanitafutia ubaya na ndugu yangu huyu farkhina. Basi nitasubiri lkn isiwe kama subira ya kifanga ya kuambiwa na mama kuku utanyonya kesho matokeo yake hadi leo kifaranga kadanganyika.
 
Last edited by a moderator:
Naona unanitafutia ubaya na ndugu yangu huyu farkhina. Basi nitasubiri lkn isiwe kama subira ya kifanga ya kuambiwa na mama kuku utanyonya kesho matokeo yake hadi leo kifaranga kadanganyika.

Usijali shosti ntakupikia keki kwa ajili yako tu..
Sema ya aina gani?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom