Tochi za kupima mwendo(speed) zinatumika vibaya Mdaula

Uswe

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,204
Reaction score
628
Juzi nimeendesha kutoka Dar kwenda Mbinga, hii ni safari ndefu ya kilomita zaidi ya 1,000

Kipande cha Mlandizi hadi Morogoro kimekua na usumbufu sana, kutoka kwa baadhi ya hawa ndugu zetu.

Hivi ni kwa nini mtu anajificha kichakani na tochi? Uko na km zaidi ya 900 kufika mtu anakupiga tochi eti kwa nini unaenda 57km saa wakati kuna kibao kimeandikwa 50 max

Ina maana niwe naendesha huku macho yako katika speed meter na si barabarani? Ni kweli tofauti ya 7 ni hatari kiasi cha kustahili kulipishana?

Ninafahamu Askari wengi na waaminifu na wanafanya kazi vizuri, lakini wapo wanaoharibu kazi nzuri na sifa nzuri ya jeshi letu la polisi, hawa wachache wasifumbiwe macho.

Ninaomba Uongozi wa Jeshi la Polisi wwachunguze na kuwachukulia hatua stahiki wale watu walioko MDAULA, wanatumia vibaya zile tochi zilizonunuliwa kwa pesa za walipa kodi kwa faida yao.
 
Juzi nimeendesha kutoka Dar kwenda Mbinga, hii ni safari ndefu ya kilomita zaidi ya 1,000

Kipande cha Mlandizi hadi Morogoro kimekua na usumbufu sana, kutoka kwa baadhi ya hawa ndugu zetu.

Hivi ni kwa nini mtu anajificha kichakani na tochi? Uko na km zaidi ya 900 kufika mtu anakupiga tochi eti kwa nini unaenda 57km saa wakati kuna kibao kimeandikwa 50 max

Ina maana niwe naendesha huku macho yako katika speed meter na si barabarani? Ni kweli tofauti ya 7 ni hatari kiasi cha kustahili kulipishana?

Ninafahamu Askari wengi na waaminifu na wanafanya kazi vizuri, lakini wapo wanaoharibu kazi nzuri na sifa nzuri ya jeshi letu la polisi, hawa wachache wasifumbiwe macho, ninaomba Uongozi wa Jeshi la Polisi wwachunguze na kuwachukulia hatua stahiki wale watu walioko MDAULA, wanatumia vibaya zile tochi zilizonunuliwa kwa pesa za walipa kodi kwa faida yao.

Hiyo speed ya Km 900 ni ya Supersonic hilo gari lako lilikuwa angani? Acha kulalamika hujui kuendesha speed 50 basi bado utakuwa Lena.
 
Km kuna kipande kina mgogoro kwenye central highway basi ni Dar- Moro. Wale jamaa ni balaa. Dawa yao ndogo tu, ukikaribia kibao ukaona uko speed, tupia neutral au mwaga maji kwenye kioo na upige wiper au weka wire au mnyororo kwa mbele na uuning'inize uguse lami njia nzima. Kila wakipiga uko 120 tochi zao zitakuwa zinasoma 0km. Labda kama wameboresha matochi yao!!!!
 
Asante kwa elimu nzuri mkuu.
Km kuna kipande kina mgogoro kwenye central highway basi ni Dar- Moro. Wale jamaa ni balaa. Dawa yao ndogo tu, ukikaribia kibao ukaona uko speed, tupia neutral au mwaga maji kwenye kioo na upige wiper au weka wire au mnyororo kwa mbele na uuning'inize uguse lami njia nzima. Kila wakipiga uko 120 tochi zao zitakuwa zinasoma 0km. Labda kama wameboresha matochi yao!!!!
 
Juzi nimeendesha kutoka Dar kwenda Mbinga, hii ni safari ndefu ya kilomita zaidi ya 1,000

Kipande cha Mlandizi hadi Morogoro kimekua na usumbufu sana, kutoka kwa baadhi ya hawa ndugu zetu.

Hivi ni kwa nini mtu anajificha kichakani na tochi? Uko na km zaidi ya 900 kufika mtu anakupiga tochi eti kwa nini unaenda 57km saa wakati kuna kibao kimeandikwa 50 max

Ina maana niwe naendesha huku macho yako katika speed meter na si barabarani? Ni kweli tofauti ya 7 ni hatari kiasi cha kustahili kulipishana?

Ninafahamu Askari wengi na waaminifu na wanafanya kazi vizuri, lakini wapo wanaoharibu kazi nzuri na sifa nzuri ya jeshi letu la polisi, hawa wachache wasifumbiwe macho, ninaomba Uongozi wa Jeshi la Polisi wwachunguze na kuwachukulia hatua stahiki wale watu walioko MDAULA, wanatumia vibaya zile tochi zilizonunuliwa kwa pesa za walipa kodi kwa faida yao.

aisee hawa mbona dawa yao ndogo sana....ukikuta kibao kimeandikwa 30km/hr wewe nenda 30km per hour...ukikuta kimeandikwa 50km/h wewe nenda 50kph....fanya hivi uone kama hizo tochi zao zitakusumbua.
 
hii n kweli mkuu?
 
hii nimeipenda ni wezi wa mchana polisi wale.
Km kuna kipande kina mgogoro kwenye central highway basi ni Dar- Moro. Wale jamaa ni balaa. Dawa yao ndogo tu, ukikaribia kibao ukaona uko speed, tupia neutral au mwaga maji kwenye kioo na upige wiper au weka wire au mnyororo kwa mbele na uuning'inize uguse lami njia nzima. Kila wakipiga uko 120 tochi zao zitakuwa zinasoma 0km. Labda kama wameboresha matochi yao!!!!
 
Aaaaah hao jamaa ni noma halafu siku hizi wanatumia magari binafsi na tochi pia wananunua zao binafsi za kukusanyia hela

Maisha magumu jombaa wanachangamkia fursa.. kama huwezi kutii sheria tembea na buku mbili mbili za kutosha.. nchi yenyewe ishauzwa hii
 
Hv mnasimamaga???kwakweli huwa wanasoma tu namba spidi 150 nasimamaje????
 
Km kuna kipande kina mgogoro kwenye central highway basi ni Dar- Moro. Wale jamaa ni balaa. Dawa yao ndogo tu, ukikaribia kibao ukaona uko speed, tupia neutral au mwaga maji kwenye kioo na upige wiper au weka wire au mnyororo kwa mbele na uuning'inize uguse lami njia nzima. Kila wakipiga uko 120 tochi zao zitakuwa zinasoma 0km. Labda kama wameboresha matochi yao!!!!

Halafu ukiona wanavyotoka speed kuzuia gari kama limekwenda zaidi ya mwendo unashangaa kabisa...kitu kingine nisichoelewa ni hizo speed limit kuwa na mkanganyiko...kuna sehemu haziko clear especially between kibaha na mlandizi.
 
Juzi nimeendesha kutoka Dar kwenda Mbinga, hii ni safari ndefu ya kilomita zaidi ya 1,000

Kipande cha Mlandizi hadi Morogoro kimekua na usumbufu sana, kutoka kwa baadhi ya hawa ndugu zetu.

Hivi ni kwa nini mtu anajificha kichakani na tochi? Uko na km zaidi ya 900 kufika mtu anakupiga tochi eti kwa nini unaenda 57km saa wakati kuna kibao kimeandikwa 50 max

Ina maana niwe naendesha huku macho yako katika speed meter na si barabarani? Ni kweli tofauti ya 7 ni hatari kiasi cha kustahili kulipishana?

Ninafahamu Askari wengi na waaminifu na wanafanya kazi vizuri, lakini wapo wanaoharibu kazi nzuri na sifa nzuri ya jeshi letu la polisi, hawa wachache wasifumbiwe macho, ninaomba Uongozi wa Jeshi la Polisi wwachunguze na kuwachukulia hatua stahiki wale watu walioko MDAULA, wanatumia vibaya zile tochi zilizonunuliwa kwa pesa za walipa kodi kwa faida yao.

wewe una matatizo na haujui sheria za barabara, hapo walipokupiga tochi ni lazima kulikuwa na Kibao ambacho kinaonyesha 50km/saa yaani usiendeshe zaidi ya hapo na ni lazima kulikuwa na kijiji au shule au Wanyama kwa kawaida kuna kuzidisha kunakokubaliwa nako ni mpaka 55 km/saa kuanzia 56 k/saa hakukubaliwi...

Hivyo acha kulalama angalia na zingatia alama za barabarani...

aisee hawa mbona dawa yao ndogo sana....ukikuta kibao kimeandikwa 30km/hr wewe nenda 30km per hour...ukikuta kimeandikwa 50km/h wewe nenda 50kph....fanya hivi uone kama hizo tochi zao zitakusumbua.

Mkuu ni vizuri tukaheshimu sheria na alama za barabarani. Lakini hawa jamaa wa tochi wakati mwingine ni wazushi tu. Siku moja nikiendesha Segera - Chalinze, nilikiona kibao cha speed limit nikapunguza mwendo mpaka speed iliyotakiwa. Nilipofika jamaa alipojificha akajitokeza na kunisimamisha. Akanionyesha tochi yake ikisoma km 90 kwa saa wakati mimi nilikuwa naendesha km 50 kwa saa. Nikamwambia hiyo tochi yake imekosea mimi nilikuwa naendesha kwa speed inayotakiwa. Tulibishana kwa karibu dakika 10 halafu akaanza kuniuliza fire extinguisher, triangle, na box la first aid. Nikamwonyesha kila kitu isipokuwa sikuwa na box la first aid. Hapo napo ikawa shida, nikamwambia box la first aid sina kwa kuwa hiyo sio gari ya abiria ni gari yangu binafsi.

Point yangu hapa ni kwamba hawa jamaa wanaweza kukubambikia speed ambayo sio ulikuwa unaendesha wewe usipokuwa makini.

Tiba
 
SiO Kweli, hakuna kitu kama hicho aidha alikuonyesha ya gari lingine au ulipunguza baada ya kukipita Kibao kwa kawaida kibao kinaoneka hata ukiwa Mita 500 hivyo una muda ya kutosha kabisa kupunguza mwendo mpaka 50km/s!

Sina sababu ya kusema uongo. Yes alinionyesha rekodi alizochukua kwa gari nyingine, sio gari yangu.
 
Km kuna kipande kina mgogoro kwenye central highway basi ni Dar- Moro. Wale jamaa ni balaa. Dawa yao ndogo tu, ukikaribia kibao ukaona uko speed, tupia neutral au mwaga maji kwenye kioo na upige wiper au weka wire au mnyororo kwa mbele na uuning'inize uguse lami njia nzima. Kila wakipiga uko 120 tochi zao zitakuwa zinasoma 0km. Labda kama wameboresha matochi yao!!!!

Usiwaongopee wenzio kwa taarifa yako tunazo new model toka USA zinapiga kazi mwanzo mwenga haijui jua,barid,ukungu wala el nino.
 
Mimi huwa sisimami mpaka Yesu arudi......Nawapitaga kwa speed ya Concorde
 
Usiwaongopee wenzio kwa taarifa yako tunazo new model toka USA zinapiga kazi mwanzo mwenga haijui jua,barid,ukungu wala el nino.

Hujasema lolote jipya mkuu, hebu rudia kusoma post yangu vizuri hadi mwisho na uielewe!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Km kuna kipande kina mgogoro kwenye central highway basi ni Dar- Moro. Wale jamaa ni balaa. Dawa yao ndogo tu, ukikaribia kibao ukaona uko speed, tupia neutral au mwaga maji kwenye kioo na upige wiper au weka wire au mnyororo kwa mbele na uuning'inize uguse lami njia nzima. Kila wakipiga uko 120 tochi zao zitakuwa zinasoma 0km. Labda kama wameboresha matochi yao!!!!

Hiyo nmeielewa sana mkuu
 
Back
Top Bottom