Anaconda!
maiweeeeeeeeer usiku lazima ntaota!!
Kuja pande hii nikulinde dhodi ya ndoto mbaya.
Hapana, ni python (Chatu)Anaconda!
Nimeota ucku nyoka mdogo anammeza nyoka mkubwa!wataalam wa ndoto nisaidien maana yake!
Duh!na imani cyo kweli!Kwa msaada wa mzee yahya (RIP) wewe una dalili za kudhulumiwa mali zako
Sent from my GT-S5570 using Tapatalk 2