Bar zenye taa za rangi ni balaa!

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,057
10,715
Nikiwa bar fulani hivi jana, baada ya kutandika balimi zangu kadhaa, mara paap akapita kimwana!

Kutupa ndoano ikanasa bila hata chambo.
Baada ya chupa kadhaa tukaelekea kunako uwanja wa shughuli......

Ile Naamka asubuhi, nikasema ngoja niendelee kujitafunia kitoweo changu maana jana ilikuwa ni uzinduzi tu wa tamasha...
Nikatuma mkono kwanza u-search network...
Kisha kidogo nikaanua blanket ili niianze shughuli.....

Tobaaaa!
Nilichokiona ilibidi tu nisingie kuumwa tumbo la ghafla niondoke zangu! Nimekoma kuopoa maeneo yenye taa za rangi haswa purple.

C&P
 
Malizia kama ili wajifunze
 
Back
Top Bottom